Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

Wasanii wa Tanzania wanazingua mjue, mfumo wa maisha wanaoishi ni wa Kimarekani kabisa wanapokuwa na pesa zao ingawaje hatutakiwi kuwapangia cha kufanya.
Zikiisha na wakipatwa na matatizo wanataka kurudi kwenye mfumo wa Kitanzania tuwachangie.
SIsi watanzania wa vipato vya hali zote tutawachangia sawa, ila na sisi tukipatwa na majanga wao wasanii wanatusaidia nini?
Kuna watu kila siku wanatangazwa ITV wakiomba msaada wa kimatibabu husikii msanii fulani kusaidia, ila wanangoja kwenye majanga makubwa na kamera nyingi wajipatie umaarufu.
Wanaishi mfumo wa maisha wa kimarekani, sijawahi kusikia wamarekani wakimchangia Whitney Houston kutokana na tatizo lake la matumizi ya madawa.
 
Kama anakufa afe tu, "every man has his breaking point"
 
Si wanasema mtu anayetumia ngada akipata tatizo la kidonda mguuni akiponi?
 
Huyu jamaa Chidibenz (kingkong) kama angekua na nidhamu angekua ameipeleka hiphop ya bongo international ana uwezo mkubwa sana, ni vile alikosa nidhamu na kwa sasa sidhani kama ataweza kurudi tena kwenye ule ubora wake wa miaka ya 2010
 
Duh walimtia cheketu
 
Laana ya familia inaitwa

Kuna code alizivunja hivyo haitokaa arudi katika nafasi yake
 
Laana ya familia inaitwa

Kuna code alizivunja hivyo haitokaa arudi katika nafasi yake
Naweza kukubaliana nawe mkuu, Mimi nimeanza kumfahamu chid toka late 1990s anajiita benzino alikuwa mkorofi, mtata Sana Sana. Ngumi mkononi, ubabe, mkizinguana ugomvi wake hauishi. Alipokuja kutoboa na akapata pesa starehe zikamteka shida ilianza baada ya kuporomoka stress zile za kuporomoka music ndo zimeleta balaa lote hili. Blue, Diamond, Kiba n wengine wamembeba Sana ila shida HABEBEKIIII.
 
Ni kweli imagine konde boy anakula Madem yenyee mitakoo Mii nateswa na upwiruuu baadae miiaka 8 kaka Juu ya bati,anaumwa helaa Hana nichangee,tukiitisha maandamano wenginee wanaimba wachaawaisomee nambaaa.Hapanaa,chid anazingua yeyee anapiga stalehee ameshindwa kujali maisha yake nani amjalie maisha yake,Tunamwachia Mungu.
 
Hata mimi nimewahi kutana nae maeneo hayo ya Tip Top kuna Bar inaitwa Cape Town ya makuti yupo rafu na kalewa.

Kama kumsaidia wamtoe nje ya Dar, kama kipindi cha nyuma walimpeleka Sober Bagamoyo
 
Tatizo mbishi sana alafu mkali mkali, watu wa kumsaidia wapo na wamewahi kufanya hivyo Ila tatizo ni hilo uwe na moyo mgumu maana ana mineno ya shombo sana
 
Tatizo mbishi sana alafu mkali mkali, watu wa kumsaidia wapo na wamewahi kufanya hivyo Ila tatizo ni hilo uwe na moyo mgumu maana ana mineno ya shombo sana
Attitude ya chidibenz ni ngumu ku deal naye, ila kwa hapa alipofikia sasa yuko hatarini sana ule mguu kama umeuona siku za karibuni utakua unaelewa
 
Hii ni kaliii hahahahahaah
 
Attitude ya chidibenz ni ngumu ku deal naye, ila kwa hapa alipofikia sasa yuko hatarini sana ule mguu kama umeuona siku za karibuni utakua unaelewa
Ni donda ndugu ,sukari au madhara ya ngada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…