Wasanii na watu maarufu waliovuma enzi hizo kwa sasa wako wapi..?

Wasanii na watu maarufu waliovuma enzi hizo kwa sasa wako wapi..?

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Enzi hizo miaka ya 2000 muziki ulifanyika kwa kiwango kikubwa sana na majina ya wasanii yakapaa, hata shoo walizokuwa wakienda kufanya mikoani zilivutia na kujaza watu japo PA ilikuwa inafanyika kwa kuzungushwa mitaani na gari za Land lover, hahahaha eehh land lover,
Mimi leo nataka kufahamu hawa wadau kwa sasa wako wapi, hivi media haziwezi hata kuwatafuta nakufanya nao mahojiano

Lakini pia kulikuwa na watu maarufu kama producers hata watangazaji waliovuma enzi hizo, kwa sasa wako wapi

John B wa Grandmaster
Muumin Mwinjuma
Pauline Zongo
Said Comolie
Buff G wa East Coast
Bizman
H Mbizo, )nilonge nisi longe)
Picco (kikongwe)
Bablee (kizizi)
KGT
Nuruelly
Squezer (kaka yake Dataz)
Producer Ambah (alikuwa wa iringa jamaa)
Mike Tee (mnyalu)
Alicom
Dknob
Snea wa East Coast
Lil Ghetto wa Akhenato record
Black wa Uswaz



Ongeza nawewe listi yako
 
Da Jo
Sista P
Zay B

Wako wapi? wanafanya nini kwa sasa? Natafuta sana tracks za Da Jo.... daah back in ze day, when MUSIC was Music.

-Kaveli-
 
Kuna yule mdada aliimbaga 'Kalamu na Karatasi'... kirap fulani hivi. Nadhani alimshirikisha Nuruel kwenye chorus. Anaitwa nani? yupo wapi kwa sasa?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom