Hahaahaaa!...aya bana mkuu,ila najua mwaka huu mtazikataa tuzo zote kwa kusema ni low quality coz Of KIBA...na bado KIBA anakaba hadi penalty na atabanana na huyo MONDI hadi kwenye TUZO MBILI ZILIZOBAKI ZITAKAZOACHIA NOMINEES WAO NDANI YA WIKI IJAYO!
Yani mkuu jamaa wanabishia uzoefu hao...kama huyo kedrick hajawai kukubali ishu yoyote ya kiba sana sana huwa anaishia kuumbuka tu...maana menzie kidingi aliwai mwambia safari hii kiba lazima apate nominations za nj'e ya TZ akabisha kwa kusema "HAWEZI KUPATA YULE...KWA NYIMBO GANI ALIYOIMBA",sasa siku si nyingi kaanza kuumbuliwa na AFRIMMA AWARDS,mara AEA AWARDS nasasa bado ni mwendelezo wa kuumbuka kwake tu maana kwenye iyo "AFRIMA AWARDS"...KIBA kapata nominations tena kamzidi huyo mondi wake.
Tulia we nomination bado zinaendelea kam zidi wapi izi tuzo hata peter msechu alichaguliwa mwaka jana
Hahahaha mshaanza kuomba poo nahis kale ka msemo kenu ka msanii local mshaanza kukapotezea kimya kimya.
kweli kabisa kama taarabu "nasema nawe " pia ipo basi hazina mzuka usishangae kumuona mzee yusuph na yeye yupoHa ha... kuna watu wakiwepo tuu ujue hizo tuzo zishapoteza quality na legitimacy yakeee
Hivi aliyeamua Nyerere aitwe Baba wa Taifa ni nani?Je watoto wa Kiislamu wanamwitaje Mzazi wao wa Kiume? Ustaadh,Maalim au BABA?
jamaa wenu nasikia hana rahaa kabisaa nyie mnamshabikia hadi upuuzi nenda insta utaonaKwanini mkuu?? Tuzo zishaingiliwa hizi...
mkuu kila tuzo zina utaratibu wakeInakuaj nomination zisitolewe zote na kwann wasitoe official link ya watu kuangalia??? I doubt for this info