Wasanii nguli wa BongoFleva nchini wamekutana tena katika AFRIMA AWARDS

Wasanii nguli wa BongoFleva nchini wamekutana tena katika AFRIMA AWARDS

Hahaahaaa!...aya bana mkuu,ila najua mwaka huu mtazikataa tuzo zote kwa kusema ni low quality coz Of KIBA...na bado KIBA anakaba hadi penalty na atabanana na huyo MONDI hadi kwenye TUZO MBILI ZILIZOBAKI ZITAKAZOACHIA NOMINEES WAO NDANI YA WIKI IJAYO!

Hazina maana hizo tuzo..kiba hastahili..
 
Mbona hizi tuzo kila siku tu jamani, hivi miaka yote huwa kuna tuzo nyingi hivi?
 
Yani mkuu jamaa wanabishia uzoefu hao...kama huyo kedrick hajawai kukubali ishu yoyote ya kiba sana sana huwa anaishia kuumbuka tu...maana menzie kidingi aliwai mwambia safari hii kiba lazima apate nominations za nj'e ya TZ akabisha kwa kusema "HAWEZI KUPATA YULE...KWA NYIMBO GANI ALIYOIMBA",sasa siku si nyingi kaanza kuumbuliwa na AFRIMMA AWARDS,mara AEA AWARDS nasasa bado ni mwendelezo wa kuumbuka kwake tu maana kwenye iyo "AFRIMA AWARDS"...KIBA kapata nominations tena kamzidi huyo mondi wake.

Tulia we nomination bado zinaendelea kam zidi wapi izi tuzo hata peter msechu alichaguliwa mwaka jana
 
Tulia we nomination bado zinaendelea kam zidi wapi izi tuzo hata peter msechu alichaguliwa mwaka jana

Hahahaha mshaanza kuomba poo nahis kale ka msemo kenu ka msanii local mshaanza kukapotezea kimya kimya.
 
Hahahaha mshaanza kuomba poo nahis kale ka msemo kenu ka msanii local mshaanza kukapotezea kimya kimya.

Katupoteza wapi afrima nilidhani MTV n huyo kibakuli kafika hapo coz ya diamond
 
Hawa nao watakua awafatilii mziki wetu..alikiba katoa albamu lini..!!!
 
Hii itakua yako bro..ukisema best male east Africa..yanatoka majina tu nasi majina ya nyimbo ..kma ilivyo artist of the year..n majina tu ..ww umeweka na nyimbo..na mashaka na hli
 
Naona kba anawapa jamba jamba kwel... Na yuoo ktk category 5 mtajambshwa sana safar hii...
 
Ha ha... kuna watu wakiwepo tuu ujue hizo tuzo zishapoteza quality na legitimacy yakeee
kweli kabisa kama taarabu "nasema nawe " pia ipo basi hazina mzuka usishangae kumuona mzee yusuph na yeye yupo
 
Hivi aliyeamua Nyerere aitwe Baba wa Taifa ni nani?Je watoto wa Kiislamu wanamwitaje Mzazi wao wa Kiume? Ustaadh,Maalim au BABA?

Yeah..umeonaee kuna jamaa akiwepo tuu tuzo inapoteza mvutooo
 
Tulia we nomination bado zinaendelea kam zidi wapi izi tuzo hata peter msechu alichaguliwa mwaka jana
we jama ni muongo sana za afrimma ulimtaja peter msechu na afrima tena umemtaja acha wivu ww #kiba hafanyi mashindano na maboya
 
sumbai sifa sio nzuri ujue katika maisha
 
Last edited by a moderator:
we jama ni muongo sana za afrimma ulimtaja peter msechu na afrima tena umemtaja acha wivu ww #kiba hafanyi mashindano na maboya

IPO hivi pwilo afrimam walimtaja Ben po afrima walimtaja peter mschesu last year
 
Last edited by a moderator:
hao sio mtv wanaopokea rushwa nyambafuu nyie na badoo kuna nomination zinakuja
 
Inakuaj nomination zisitolewe zote na kwann wasitoe official link ya watu kuangalia??? I doubt for this info
 
Back
Top Bottom