Nyie mnaodai eti hao mamluki wana haki ya kufanya hivyo simply becoz Nakaaya's supporting chadema mko wrong na mnafananisha kifo na usingizi...Nakaya ana sababu nzuri ya kufanya hivyo tofauti na hao wasanii wengine ambao wamekubali kuuza uhuru wao na kuwa watumwa wa kifikra,mara nyingi wasanii huwakilisha jamii,most of the times vilio vya wananchi dhidi ya utawala mbovu,umasikini nk,lakini hii mipu, mbavu ni mibinafsi sana kwa kutaka tuendelee kuwa masikini kwasababu ya utumwa wao wa kifikra,huwezi kusema una uhuru wa kifikra kama una act cowardly like this.
Kwa upande mwingine,walitakiwa watumie akili na kufight bega kwa bega na wananchi waliochoshwa na mafisadi ili tuweze kujikwamua kiuchumi kwasababu tukipata maendeleo wao ndio watakuwa na pesa zaidi ya wanasiasa na hivyo kuwa mawazo huru,kwa mfano marekani, mwanasiasa tajiri kuliko wote ni John Kerry,ambaye hata hivyo most of it comes from the wife,billionaire tomato ketch up heiress,so John Kerrry yeye ana worthnaround $143 to 147 milllions kama sikosei,na wakati Puff Daddy yeye ni over$500, wakina Britney Spears,Chistina Aguilera wenyewe wana worth more than number one richest politicians, na Jay mayb billionaire.
Sasa huko kwetu ni kinyume,wanasiasa ndo matajiri, sasa kama wasanii wakiwa wajinga, wavivu wa kufikiri na wenye utumwa wa kifikra, msitegemee lolote kutoka kwao, kama ni kweli wanalipenda Taifa na vizazi vijavyo, basi walitakiwa wawe mstari wa mbele kupingana na dhulma dhid ya wananchi.
Ukiwauliza wanaweza kuwa na sababu nyingi tu, mfano ni Dr Remmy ambaye baada ya kutunga ule wimbo wa Mrema na kuwepo kwenye majukwaa kusapoti upinzani, mara ghafla wakaanza kudai eti si raia, kwa hawa wa bongoflava, ccm ni kama sumu,miziki yao haitapigwa.
Mapinduzi ndio the only solution, hata hao vijana tutawaweka kwenye msitari, pambaf sana.