Waacheni jamani........wanao uhuru wa kuchagua nini cha kufanya mradi tu hwavunji sheria....hatuna haja ya kuwazonga wala kuwalalamikia(Tanzania si ni nchi ya kidemokrasia bana?).....Pia wenzenu wako kibiashara zaidi
You nailed it son.
I thought this place was supposed to be more enlightened than this, at least to the extent of having already realized a while ago that Bongofleva cannot even dream of filling the leadership void, let alone actualizing it.
Kuna watu wanaweza kusema "As far as I am concerned, hawa watu wanatafuta gigs tu, na hii ya CCM ni gig nyingine tu ambayo CHADEMA wameshindwa ku bid sawa na CCM" Wengine wanaweza kusema kuna marefu zaidi ya short term greed, kwamba sera za CCM kuhusu wasanii ziko attractive zaidi. On both counts, unless mtu anionyeshe otherwise, CHADEMA hawajafanya homework yao. Mimi nimeona attempts (lame and scripted) za Kikwete kuwakumbatia wasanii wa bongofleva, sijaona attempts kama hizi kutoka upinzani.Hivi upinzani unafikiri movement ya Bongofleva ni yao by default? Without any effort?
Ningeelewa kama mngekuja na sera za upinzani zilizo bora zaidi ya za CCM as far as wasanii are concerned, halafu mkawasema hawa wasanii wana endorse kitu kilicho against their immediate self interest.
Lakini sasa hivi inaonekana wanafanya kila kitu in their self interest, wanacultivate connections na status quo na wanapalilia kufanikiwa kwa sera za CM kuhusu wasanii.
Tusiongee generalities tu "ufisadi this" "ufisadi that", let's get specific and discard this groupthink.
Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo upinzani unavyozidi kutapatapa (and yes, I am anti-CCM, but the truth must be told).Tulianza kwa kuweka matumaini katika vyama vya upinzani, vimedisappoint.
Tukaenda kwenye press, largely ina disappoint.
Tukaenda kwenye vyama vya wafanyakazi, vime disappoint.
Naona sasa tuna lower the bar mpaka kwenye Bongofleva, halafu tunataka kushangaa kutokana na disappointment yao.
To me, the only disappointing thing here is that people had any hope in Bongofleva to begin with.