Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
Hebu angalia za jirani zetuBy the way exchange rate leo ni Tsh. 1436/USD. Hayo ndo mafanikio ya Kikwete ambae alikabidhiwa nchi wakati USD 1 ilikuwa sawa na Tsh. 1153 (Tsh. 1153/USD) miaka 4 tu imepita
Kiranga unaweza ukawa umem quote Bob vibaya,haimake sense,sidhani kama wamechagua destiny,rather destiny chose them.Kiranga said:Bob alisema
"Every man has a right to decide his, own destiny" ni vizuri wamesimama ili wahesabiwe na CCM, kesho keshokutwa rekodi itaonyesha katika vuguvugu la mabadiliko walikuwa wapi. This is the typical complacency of Bongofleva, not the versatile angry anti-establishment style of hip hop, don't confuse the two.
Wewe ulifikiri Kikwete alivyowaalika Ikulu na kuwapa photo op alikuwa anapalilia nini?
Kiranga,hakuna anayebisha kuwa wana haki hizo ulizozisema,hata hivyo je wameshaonyesha kukerwa na hali halisi inavyozidi kuwa mbaya?
Bob Mkandara what you just saidi is true,kwamba wao wanajali maslahi yao na hivyo kuamuwa kumsapoti JK aliyewaahidi kuzifanyia marekebisho,na hivyo basi wao ni masuper stars wenye agenda zao binafsi na wasioiwakilisha jamii kwa ujumla?
Maisha bora kwa kila msanii....Teh teh teh.
Wil.I.am alipo m-endorse Obama hamkulalama nyinyi wanywa kool-aid wa Obama?
Sitaki kuingilia uhuru wa mtu kuwa affiliated na political party yoyote ile.
Kati ya wasanii wote hapo,Prof.Jay ameniudhi sana.kuanzia leo nagoma kununua mziki wake.Huu ni unafiki mtupu,amekua akiimba tungo zenye maana,lakini kumbe nae ni walewale tu.Akina dully sykes siwashangaai coz hawajui kitu
Unajuaje kama katika kukerwa kwao, wameona the best solution ni CCM? Kwa nini unafikiri ni lazima kila mtu ashabikie upinzani?
Mimi hii ndiyo beef yangu na watu wanaowashangaa hawa "wasanii", ni kama tulikuwa na mkataba nao kwamba watashabikia upinzani tu na sasa wameuvunja mkataba huu.Mimi siujui mkataba huu.Mimi nina uphold individuality, na hata kama mimi siipendi CCM, pia sipendi ushabiki wa groupthink unaofikiri kwamba kila msanii wa bongoflava automatically atakuwa against CCM. This thinking is wrong.
Hawa watu wana haki ya ku exercise civil rights zao. Unapouliza "wameshaonyesha kukerwa?" unasahau kwamba kukerwa kwao si lazima kuwe sawa na kukerwa kwako (hapa tena lazima tuondoe groupthink na tuweke individuality). Mkuu Bob kaweka vizuri sana kero kubwa ya wasanii kuhusu hakimiliki, na ka speculate very reasonably kwamba inaweza kabisa kuwa ndiyo selling point ya Kikwete, sasa huoni kwamba kwa kutoka vantage point yao Kikwete anaweza ku address kero yao?
Tusitake kuleta groupthink za kusema watu wa Bongofleva wote lazima wafikiri sawa, au vijana wote lazima wawe na sympathy kwa upinzani.
Upinzani wenyewe umefanya nini ku address kero zao?
I loathe CCM, but I loathe groupthink even more
Una maana wameona kuwa the best solution dhidi ya mafisadi ni ccm? Naona ni kweli wana haki ya kuwawakilisha mafisadi,kazi kwa masikini wanaonunua miziki yao,hopefully hawatakuwa influenced na endorsements zao! Mwananchi masikini wa kawaida ni lazima apate mwakilishi,hawa wanawakilisha mafisadi.
Wawakilishi wa wananchi kama mfano wa kuigwa,wao ni kioo cha jamii,sasa kama hiyo ndo reflection yenyewe,then we're doomed to fail. Wapenzi wa muziki wao siyo ccm peke yake,kwahivyo kama wangekuwa na busara, wangechangia kivyao na si kuwashurutisha washabiki ama wapenzi wa muziki wao wachangie ccm.Inawezekana wameona the best solution against mafisadi ni CCM.
Inawezekana hawaamini kwamba ufisadi ni tatizo
Inawezekana wanaamini kwamba kila mtu anatakiwa atumie opportunities zake regardless, na ufisadi ni sehemu ya capitalism tunayoingia
Ni matusi kuwaita hawa hustlers "wawakilishi", wamekuwa wawakilishi kwa msingi gani? Nani kawapa uwakilishi?
Hapo ndipo mnapokosea, mshawafanya hawa watoto wa mjini "wawkilishi" tayari, wawkilishi my foot.
Yaani watu wako delusioned humu, ni kama yule mfa maji ambaye akiona hata unywele unaelea anataka kuushika ili asizame.
Sasa hawa hustlers wa bongofleva ndio unywele huu unaoelea, hamkutakiwa kuweka matumaini yoyote katika unywele huu.Na kama mliweka matumaini poleni.