Wawakilishi wa wananchi kama mfano wa kuigwa,wao ni kioo cha jamii,sasa kama hiyo ndo reflection yenyewe,then we're doomed to fail....Wapenzi wa muziki wao siyo ccm peke yake,kwahivyo kama wangekuwa na busara,wangechangia kivyao na si kuwashurutisha washabiki ama wapenzi wa muziki wao wachangie ccm.
kama wangekuwa na busara,wangechangia kivyao na si kuwashurutisha washabiki ama wapenzi wa muziki wao wachangie ccm
Waacheni jamani........wanao uhuru wa kuchagua nini cha kufanya mradi tu hwavunji sheria....hatuna haja ya kuwazonga wala kuwalalamikia(Tanzania si ni nchi ya kidemokrasia bana?).....Pia wenzenu wako kibiashara zaidi
Kiranga said:That's where you are wrong, wawakilishi kwa mkataba gani? Nani kakwambia hawa virukanjia wanaoshika mic mkono mmoja huku mkono mwingine umeshika bia na vidole viwili vimekumbatia ndumu ni "mfano wa kuigwa"?
Unaposema
Uko tayari kusema hivyo hivyo kwa wale wanaochangia/ ku endorse CHADEMA na vyama vingin vya upinzani?
Au una maintain double standards? Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu? Wasanii waki endorse CHADEMA sawa, wakiendorse CCM mamluki?
Hakuna anayemchagulia mtu enitin mkuu,lazima tutakuwa na mawazo tofauti hapa,and so we're gonna try to disscuss it,na wewe ndio umekosea,posting hapo juu si kuhusu destiny yao kama unavyotaka kubadili issue.Sio lazima kila mtu akubaliane nawe, again every man has a right to decide his own destiny, mbona mnataka kuwachagulia wenzenu?
Acheni groupthink hizi.
Nijuavyo mimi, CHADEMA au chama kingine kikishinda watakuwa huko pia!!! So it is not even an agenda to discuss.
Naona hapo kwenye highlights "tunakubalina"And that is only and only if nyimbo zao ni za kuupinga ufisadi kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo nyuma,kwa hiyo tunarudi kule kule.....Kwamba they might be endorsing either wanajeshi "wakristo" ama "waislam" in order to survive.....And thats "emanicipation of mental slavery?"Mazee,
Unanikumbusha vita vya kidini somewhere in the middle east, Lebnan I believe, kuna wanavijiji walikuwa wakiona wanajeshi wa kikristo wanakuja kijijini kwao, wakiulizwa "mna support majeshi gani?" wanajibu "Of course tuna support nyinyi wanajeshi wa kikristo" wanaachiwa waishi siku nyingine.
Wakija wanajeshi wa kiislamu na kuwauliza swali lile lile wanajibu vile vile "Of course tunawa support nyie wanajeshi wa kiislam". To them this was a survivor's game.
Kwa hiyo mimi siwezi ku knock their hustle, najua tu kwamba ni "wasanii" kweli kweli. Na transparency is good, nashukuru wametufahamisha wanasimama wapi.
Si kila uwakilishi una mkataba rasmi,kama unawa brand wasanii hao "viruka njia",then ccm inaamini kuwa virukanjia hao wana influence kwenye jamii na wanawatumia kuomba mchango(kutoka kwa wananchi viruka njia?),na zaidi ya hapo sitaki kuwa naive.
Yes,niko tayari kusema hivyo kwa chama chochote,lakini kwasababu Taifa liko kwenye a "sense of urgency" lazima kutakuwa na wasio make sense at all.....Umamluki ni pale unaposhabikia chama cha mafisadi.....Siwachagulii destiny.
Hakuna anayemchagulia mtu enitin mkuu,lazima tutakuwa na mawazo tofauti hapa,and so we're gonna try to disscuss it,na wewe ndio umekosea,posting hapo juu si kuhusu destiny yao kama unavyotaka kubadili issue....Hapo juu ni wao kuwashurutisha wapenzi wao waichangie ccm,na nikasema wapenzi wao ni more than ccm,nakubali wana haki ya ku endorse whichever party the want to....Lakini wajuwe kuwa wanaweza kuwapoteza wapenzi wa muziki wao wasio penda mafisadi.....Halafu sijui hiyo unayodai group thinking imetoka wapi?
Huwezi kusema unaheshimu haki ya wenzako kuwa na mtazamo tofauti kisiasa, halafu wanapokuja na mtazamo tofauti unawasema vibaya kwa sababu wamekuja na mtazamo tofauti.This is a total contradiction.
Either huheshimu haki ya wengine kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa, na ndiyo sababu unawabalasa hawa, au kama unaheshimu huwezi kuwabalasa on the sole basis of having a different political opinion.
I mean, I hate CCM too, but give me something to work with here. Give me something a bit more nuanced, a bit more interesting, a bit more detailed than the generalities of "CCM mafisadi".
You should know better than that.
Usidhani kwamba nina retreat from anything i said through out this thread,mimi kama mpenzi wa muziki wao i have the rght to say the ef i want bout dey asses!they're celebrities and i can talk shit bout em as i am pleased or see it fit!
There you said it yourself, kumbe you are just talking shyt. I thought you were trying to make a coherent case.
My bad.
Moja; Msanii ni mwananchi wa kawaida na ana haki ya kupigia debe chama chochote anachokitaka. Just like Jay-Z and Luda campaigned for Barack.
Pili; There is a reality detachment between wabongo WENGI wa jambo forum na wabongo tulioko bongo. You guys don't understand siasa za hapa as mbongo wa kawaida sees it.
Tatu; Majority of folks here are more Anti-CCM than Pro-Maendeleo. Which doesn't make any sense. You guys need to be rebels with causes, and not just anti-establishment.
Nne; Who stopped Upinzani from reaching out to watu mashuhuri hapa nyumbani ili waweze kuwanadi?
We si unadai kuwa sina haki ya kusema chochote kuhusu celebrity?Soma posting yangu vizuri na uelewe nilichokuwa nammanisha,celebrities have no immune,beta understand dat!
Na kwasababu hiyo basi,wapenzi na mashabiki wa bongo flava wana haki ya kusema chochote kile kuhusu kukubali ama kutokubalina na matendo,statements,maamuzi etc,being it political or even socially ie ulipomention kuwa hawa ni viruka njia na wavuta ndumu,ama kweli mkuu wewe sasa ndo unajicontradict,umenikumbushia sana Bluray!
Sasa wewe kuwaita hayo majina aint shit?i hope yu get da gadamn point man.
To me, the only disappointing thing here is that people had any hope in Bongofleva to begin with.