Elections 2010 Wasanii Nyota wa Bongo Flava wachangia CCM

Kiranga huwezi kuandika kwa kiswahili?

Un'taka Chimwiri cha Barawa, cha Ngazija, Mrima, Mvita, Unguja, Tumbatu, Mgao, Congo, Urundi, Mwani, Sheng au KiswaKinge?

Nachelea nikianza kutumia Kiswahili utaanza kuulizia lahaja kama si kupomboa mng'aomacho.
 
Kila nikitaka ku post hoja kwenye thread hii naona Kiranga kesha andika!Kilicho baki ni kusoma tu!!!!
 
Ulifikiri?

Tatizo letu ndilo hili, kufikiri fikiri kwingiiiii, kujua hamna!

Niambie kuhusu unachojua, si unachofikiri.

Hukatazwi kufikiri chochote, hell, kuna watu wanafikiri the earth is flat, na wana haki ya kufikiri hicho, as long as wanafikiri.

Ona The Flat Earth Society -- Home

Na The Flat Earth Society

The moment wanakaposema wanajua kwamba the world is flat mimi nina bifu nao.

Labda it is high time tuache kufikiri fikiri, na tuanze kujua.

Mimi sikufikiri fikiri, na ku assume assume, nilijua tangu mwanzo kwamba hawa watu wa bongoflava ni wasanii tu, hawana chochote serious, na mpaka leo ninavyoona wanafanya campaign kwa CCM sishangai, kwa sababu najua rationale na bottom line yao. Kitu pekee ninachoshangaa ni hao watu wanaowashangaa.

Ni wewe na wenzako mnaofikiri fikiri bila kujua tu mnaoweza kushangazwa na move hii.

A little knowledge is dangerous indeed.

Sawa wewe ndiye unajuwa zaidi ama unajuwa kabla ya kufikiri hata kidogo(kinyume cha kufikiri kwingi?!).....welll...good for you,mimi baada ya "kufikiri kwingi" sasa "najua" ni macowards!
 
Nishakuuliza hapo juu wewe ambaye si coward umefanya nini? Maana isije kuwa habari ya ushujaa wa kwenye keyboard wakati hata maandamano yanaanzia wapi hujui.

Get real son, kila mtu ana haki ya political affiliation.Nyimbo zao walizokandya system hazina maana kwamba hawaamini katika kuisafisha system from within, inawezekana washaona experiences za Zambia na Kenya na kuona hazilipi. Huwezi kuwachagulia watu chama.

The best you can do is get your own effort going to counter this move.

Ndiyo maana CCM inashinda kila uchaguzi hivi hivi, kwa vi point ambavyo wengine tunaweza kuviona vidogo lakini vina resonate na watanzania.

Sasa upinzani mkifocus kwenye abstracts zilizo ten thousand miles above wananchi's heads, bila ya kuwa na grassroot effort, matokeo yake hata ile demographic ya vijana 18-35 ambao traditionally wanaweza kupigia upinzani zaidi mnaweza kuikosa.

JMushi acha kulialia na effort za CCM, tuonyeshe wewe "shujaa" wetu umefanya nini?
 
Narudia mkuu,mimi na wewe si wao,wana nafasi mimi sina na wewe hatuna.....Pia mimi si mpinzani,i am just a concerned citizen......Mimi siyo "shujaa wenu" wala mtu yeyote yule....Mimi siko kwenye level yao,wao ni celebrities,nashangazwa sana na wewe kurudia issue ambayo nimekueleze almost evey past posting of mine.....mimi si msanii,tunazungumzia wasanii...
Nashangazwa sana kwamba huelewi nachojaribu kusema,kama bado hujanielewa basi tuyaachie hapo,kila mtu abakie na msimamo wake,wangu mimi uko pale pale kwamba mimi kama mshabiki,wameni let down from ma vantage point...Wewe ni different,tuishie hapo.
Na hakuna pahala nimewachagulia kuwa na chama flani,miye mwenyewe sina chama.
 
Flip flopping as usual, mara uwaite watu cowards (which implies you are talking from a position of a higher moral authority on the subject, meaning you are not a coward)

Hapo ndipo unaambiwa put up or shut up.Kama kweli wewe ni shujaa na umeona cowardice yao, tuonyeshe wewe umefanya nini cha kishujaa. Otherwise, quit exposing yourself here like a person undressed.

Hii notion ya "wao wana nafasi" ni a losers way of looking at life, ku complain complain tu.Wewe mbona una nafasi kubwa tu hapa, tena unaweza kuanzisha grassroot movement kubwa tu, kwa nini unakuwa na hii self defeatist attitude son? Kwa nini unakuwa na tamaa ya kuvuruga kilichojengwa na wenzako wakati hutaki kujenga chako?

Every human being matters, every human being can be a star, acha kutukana uwezo wa ubongo wako.Unaongea kama vile wewe una ubongo wa nzi na wenzako wana ubongo wa binadamu, wakati wote tuna biology hiyo hiyo?

Angalia sasa unaongelea ushabiki, that is where you are wrong. This is not about ushabiki, ukileta ushabiki ushabiki utakutia tongotongo.Utajisikia kama jamaa aliyepigwa kibuti na demu wake na haamini, anakuwa katika denial.

Look at the facts.Jamaa wana support CCM.Hukuwa na mkataba nao wowote wa kuwakataza ku support CCM. Kama imekuuma sana anzisha kitu chako ku counter hii.
 
W.T.F Man,msimamo wangu uko pale pale.....Ni cowards.....Walitunga mashahiri ya kupinga ufisadi sasa hivi wanawasapoti,ni macoward to me,they aint free minded,they dont do wat they ef preach, CORWARDS!

Na nina zungumzia only wale ambao mimi ni shabiki wao,si wote in their totality,we unajiona una akili baki nazo,hizo sizihitaji.
 
W.T.F Man,msimamo wangu uko pale pale.....Ni cowards.....Walitunga mashahiri ya kupinga ufisadi sasa hivi wanawasapoti,ni macoward to me,they aint free minded,they dont do wat they ef preach...CORWARDS!
Na nina zungumzia only wale ambao mimi ni shabiki wao,si wote in their totality,we unajiona una akili baki nazo,hizo sizihitaji.

Son,

At least wao watasema walitunga mashairi, walipoona upinzani hamna, press hamna, vyama vya wafanyakazi hamna etc wakaona fcuk it, ngoja tu apply "if you can't beat them, join them" and "he who fights and run away, run to fight another day" labda kesho keshokutwa wataweza ku influence changes from within.

Wewe zaidi ya msimamo, umefanya nini? Wewe mwenye moral authority ya kuwaita hawa watu cowards, una authority gani inayokupa credibility ya kuwaita watu cowards?

Usije kuwa armchair critic umekaa behind laptop unasema "wale wanajeshi walioshindwa kuogelea kwenye mto Kagera uliojaa mamba ni cowards wale" wakati wewe umekaa ndani ya kiyoyozi unakula korosho kwa mrija.

Talk is cheap, walk the walk, don't only talk the talk.

Tatizo kila mtu armchair critic, tuna overanalyze kila move ya mpira, pale wangefanya hivi ingekuwa vile, wakati hata warm up routine hatuijui, let alone fainali.

Unaruhusiwa kufikiri fikiri vyovyote unavyotaka, lakini ukitaka ku present mambo kama factual hapa ku challenge ni jadi yetu. Do not expect watu wakuachie u mislead watu kwa sababu eti una haki ya kusema unachotaka.

Kama una issue far and above "Kwa nini wanashabikia CCM wakati walishaikandya" tunaikaribisha hapa. Otherwise kama hii ndiyo issue yako pekee then I am afraid huna issue.
 
Kwa kweli inastaajabisha hata siamini hivyo hawa wanafahamu au ndio usinii wao ndio wanataka kutopoteza watanzani aibu kwa kweli na hawana maana tena nina wasi wasi tusije tukamuona na MRISHO nae yumo humo.:angry:
 
Sio kosa lao, hawa vijana wanaganga njaa tu, bora mkono uende kinywani
 
Son,

At least wao watasema walitunga mashairi, walipoona upinzani hamna, press hamna, vyama vya wafanyakazi hamna etc wakaona fcuk it, ngoja tu apply "if you can't beat them, join them" and "he who fights and run away, run to fight another day" labda kesho keshokutwa wataweza ku influence changes from within.

Wewe zaidi ya msimamo, umefanya nini? Wewe mwenye moral authority ya kuwaita hawa watu cowards, una authority gani inayokupa credibility ya kuwaita watu cowards?

Usije kuwa armchair critic umekaa behind laptop unasema "wale wanajeshi walioshindwa kuogelea kwenye mto Kagera uliojaa mamba ni cowards wale" wakati wewe umekaa ndani ya kiyoyozi unakula korosho kwa mrija.

Talk is cheap, walk the walk, don't only talk the talk.

Tatizo kila mtu armchair critic, tuna overanalyze kila move ya mpira, pale wangefanya hivi ingekuwa vile, wakati hata warm up routine hatuijui, let alone fainali.

Unaruhusiwa kufikiri fikiri vyovyote unavyotaka, lakini ukitaka ku present mambo kama factual hapa ku challenge ni jadi yetu. Do not expect watu wakuachie u mislead watu kwa sababu eti una haki ya kusema unachotaka.

Kama una issue far and above "Kwa nini wanashabikia CCM wakati walishaikandya" tunaikaribisha hapa. Otherwise kama hii ndiyo issue yako pekee then I am afraid huna issue.

Kiranga,bado tu unadai mimi ni sawa na wao,yani sasa cjui nikueleze vipi,maana naona una cherry pick kaa tuko kwenye ligi ya mchangani,mimi kama mshabiki wa baadhi yao nina haki ya kuwa critical,na hakuna pahala nime mmislead mtu yeyote,kama vile ulivyo na haki ya kuniambia siwezi kuja hapa na kusema this or that without facts na mimi nakweleza the same,sijui kuna kipi huelewi?mbona unakuwa mgumu kuelewa?ni ganzi gani hiyo?kama una akili timamu basi lazima una maslahi,daaym!

Nimeshakwambia mimi si wao,naweza kaa popote pale nika wacriticise macelebrity ambao mimi ni shabiki wao,mbona una complicate issue?Ama kwasababu criticism ni ccm? hata kama wangekuwa wanashabikia something i dont think its rght i wouldve say da ef same!sasa wewe unaniambia sina haki hiyo?Ebu acha ujinga mkuu!ama una visa?Duh!
 
Tanzania kuna vituko karibu kila mtu sasa anaona ccm ni mahala pakujinufaisha, angali wanaotaka kugombea wengi ni wa namna gani, utafikiri ccm ni mungu fulani, njaa tu inawasumbua;

CCM ina utakatifu gani hata mtu agombee kupitia kwake
 
Kiranga una moyo maana kwenda back and forth na mangi (Jmushi) ni kaaaazi kweli kweli.
 
Hawa wajinga wa CHADEMA na uzalendo wao JF tu. Nyie mmefanya nini kuikomboa Tanzania mpaka muwalaumu hao wasanii?

Tanzania ni nchi huru na kila mmoja ana haki kikatiba kuamua kuunga mkono chama chochote akitakacho.

Kama mmeshindwa kuwashawishi watu kwa hoja waje upande wenu, mnafikiri mtashawishi kwa matusi? Hovyooooo!
 
Nyie mnaodai eti hao mamluki wana haki ya kufanya hivyo simply becoz Nakaaya's supporting chadema mko wrong na mnafananisha kifo na usingizi...Nakaya ana sababu nzuri ya kufanya hivyo tofauti na hao wasanii wengine ambao wamekubali kuuza uhuru wao na kuwa watumwa wa kifikra,mara nyingi wasanii huwakilisha jamii,most of the times vilio vya wananchi dhidi ya utawala mbovu,umasikini nk,lakini hii mipu,mbavu ni mibinafsi sana kwa kutaka tuendelee kuwa masikini kwasababu ya utumwa wao wa kifikra,huwezi kusema una uhuru wa kifikra kama una act cowardly like this.

Kwa upande mwingine,walitakiwa watumie akili na kufight bega kwa bega na wananchi waliochoshwa na mafisadi ili tuweze kujikwamua kiuchumi kwasababu tukipata maendeleo wao ndio watakuwa na pesa zaidi ya wanasiasa na hivyo kuwa mawazo huru,kwa mfano marekani,mwanasiasa tajiri kuliko wote ni John Kerry,ambaye hata hivyo most of it comes from the wife,billionaire tomato ketch up heiress,so John Kerrry yeye ana worthnaround $143 to 147 milllions kama sikosei,na wakati Puff Daddy yeye ni over$500, wakina Britney Spears,Chistina Aguilera wenyewe wana worth more than number one richest politicians, na Jay mayb billionaire......Sasa huko kwetu ni kinyume,wanasiasa ndo matajiri,sasa kama wasanii wakiwa wajinga,wavivu wa kufikiri na wenye utumwa wa kifikra,msitegemee lolote kutoka kwao,kama ni kweli wanalipenda Taifa na vizazi vijavyo,basi walitakiwa wawe mstari wa mbele kupingana na dhulma dhid ya wananchi....Ukiwauliza wanaweza kuwa na sababu nyingi tu,mfano ni Dr Remmy ambaye baada ya kutunga ule wimbo wa Mrema na kuwepo kwenye majukwaa kusapoti upinzani,mara ghafla wakaanza kudai eti si raia,kwa hawa wa bongoflava,ccm ni kama sumu,miziki yao haitapigwa....Mapinduzi ndio the only solution,hata hao vijana tutawaweka kwenye msitari,pambaf sana.

Huyu Jmushi ni Taliban wa CHADEMA, yeyote asiyeshabikia CHADEMA ni mamluki, kichaa, mwenye njaa nk. Wameshindwa hoja, wamegeuka viroja.

Msanii akishabikia CHADEMA ni sawa lakini akifanya hivyo hivyo kushabikia CCM ni mamluki. Kumbe ile haki kikatiba kuamua utakavyo bila kupachikwa majina haipo tena?

Kama mnataka CHADEMA iungwe mkono na watu wengi, iondoeni kuwa chama cha clan na kuifanya ya taifa.
 
Kiranga,bado tu unadai mimi ni sawa na wao,yani sasa cjui nikueleze vipi,maana naona una cherry pick kaa tuko kwenye ligi ya mchangani,mimi kama mshabiki wa baadhi yao nina haki ya kuwa critical,na hakuna pahala nime mmislead mtu yeyote,kama vile ulivyo na haki ya kuniambia siwezi kuja hapa na kusema this or that without facts na mimi nakweleza the same,sijui kuna kipi huelewi?mbona unakuwa mgumu kuelewa?ni ganzi gani hiyo?kama una akili timamu basi lazima una maslahi,daaym!

Nimeshakwambia mimi si wao,naweza kaa popote pale nika wacriticise macelebrity ambao mimi ni shabiki wao,mbona una complicate issue?Ama kwasababu criticism ni ccm? hata kama wangekuwa wanashabikia something i dont think its rght i wouldve say da ef same!sasa wewe unaniambia sina haki hiyo?Ebu acha ujinga mkuu!ama una visa?Duh!

Nishakwambia kwamba hukuwa na mkataba nao, hamkufunga ndoa ya kisiasa, wala hamkuwa na mkataba.

Kwa hiyo kama comprehension yako ni ndogo, na mistari yao waliyokuuzia ilikufanya uamini kwamba mna mkataba fulani, ambao kwawo hawawezi kuipigia kampeni wala kura CCM, kama kweli comprehension level yako iko this low, that is not really my problem.

Yaani mwenyewe siku zote unavyowasikiliza ukaamini kabisa kwamba hawa waganga njaa wako serious siyo?

Unachekesha sana.
 
Back
Top Bottom