Elections 2010 Wasanii Nyota wa Bongo Flava wachangia CCM

Ndio demokrasia hiyo, kama Hollywood ilivyojipanga kumshabikia Obama, waache vijana na wao wa-exercise haki yao ya kidemokrasia ya kumshabikia na kumpigia kampeni mtu au chama wanachokipenda.

Tusiwanyanyapae!! Kuwaaambia kwamba ni wapungufu wa akili et cetera inaonyesha ni jinsi gani baadhi yetu tumepungukiwa busara au hatujui tuongealo!

Ndio demokrasia, get used to it!!!
 
Ndio demokrasia hiyo.. kama Hollywood ilivyojipanga kumshabikia Obama.. waache vijana na wao wa-exercise haki yao ya kidemokrasia ya kumshabikia na kumpigia kampeni mtu au chama wanachokipenda. Tusiwanyanyapae!! Kuwaaambia kwamba ni wapungufu wa akili et cetera inaonyesha ni jinsi gani baadhi yetu tumepungukiwa busara au hatujui tuongealo!! Ndio demokrasia.. get used to it!!!
Brutus;kama vile wale wenye haki ya kuushabikia ufisadi hapa JF wanafanya hivyo,na mimi nisioushabikia ufisadi hapa sheria ya JF inasema nikae kimya?
 
Hawa wajinga wa CHADEMA na uzalendo wao JF tu. Nyie mmefanya nini kuikomboa Tanzania mpaka muwalaumu hao wasanii?

Tanzania ni nchi huru na kila mmoja ana haki kikatiba kuamua kuunga mkono chama chochote akitakacho.

Kama mmeshindwa kuwashawishi watu kwa hoja waje upande wenu, mnafikiri mtashawishi kwa matusi? Hovyooooo!

Tafadhali mkuu tuelewane,mimi si chadema na sijawahi kuwa na chama, nasapoti anything positive for the nationals intrerests regardless of the party, naweza kukuswekea linki hapa kabla hata wasanii hao hawajatunga hizo nyimbo za kupinga ufisadi, nilianzisha thread hapa ya kuwa encourage wafanye hivyo na pengine waliisoma pamoja na other influencens, including reasoning wakafanya kweli, najua mazingira ni magumu, lakini wao ndio tunawategemea kufikisha ujumbe for they have access to media and followers.

Na pia nzrudia sizungumzii wasanii wote.
 
Fundamentally, every person has a right to decide his/ her own destiny. And even after deciding on it, that same person has the right to change his/her mind, change it back again, change it again, and so on and so forth. As long as no breaking of contract is involved.

As the concept of "betrayal" can be very therapeutic, if not consoling, to those who did not get their way, a certain degree of eminence - lacking in some of our members as evidenced in this thread- is required to completely grasp this dear truism of the human condition.

The political process is dotted - if not littered- with an ever increasing torrent of new information being available with each passing day.Even if these fellows had committed to campaign for the opposition (which they didn't) I would not see anything wrong with them changing their minds and campaigning for CCM.

That is the essence of democracy, free thought, freedom of expression and political affiliation not to mention the freedom to exercise economic calculations.Once you deviate from this essence, you immediately plunge into a thinly veiled supposedly "oppositional" and "progressive" totalitarianism and Borg-like collectivism.

We have to learn to embrace the paramount prominence of individual choice even when contrasted with the attainment of a collective goal.For what is a collective goal attained without the heartfelt conviction of individuals? It is a mere farce, to be deplored rather than adored.

It is uncontested that in the annals of human action the individual interest always takes precedence over the utopia of a collective goal. These fellows are only acting in what they believe to be their best individual interests.

You can't knock their hustle.
 
Ningefurahi kuishi kwene nchi iso na 'demokrasia' lakini ina watu makini wenye kujua wanachofanya. 'Demokrasia' ya kitanzania NI UPUMBAVU MTUPU.nukta.
 
I really don't understand why some people are going off the deep end about this. So what if these folks have decided to endorse CCM? Is that the end of the world or what? Afterall, it's their right, isn't it? Just get over it and get a life.
 
Bora useme wewe mazee.

Watu wana bitch utafikiri wamepigwa kibuti na mke wa ndoa ya miaka 80 !
 
Ningefurahi kuishi kwene nchi iso na 'demokrasia' lakini ina watu makini wenye kujua wanachofanya. 'Demokrasia' ya kitanzania NI UPUMBAVU MTUPU.nukta.

Maswala ya msingi yanayozungumziwa hapa yameenda zaidi ya Tanzania na demokrasia. Kimsingi tunaongelea haki ya mtu mmoja kuamua maswala yake mwenyewe.

Dunia nzima, ukiondoa China, North Korea, Cuba na vi pockets vingine vilivyo largely insignificant, ishakubali kwa njia moja au nyingine kwamba demokrasia ndiyo njia ya kwenda.

Kuna utawa fulani katika kufuata kanuni ya "wengi wape" hata kama wajinga.Ukiondoka katika kanuni hiyo unaanza kujongea kwenye Aryanism na Nazism, ambapo utataka kuwa test IQ watu wako na kuua wenye low IQ wote ili ku preserve a master race.

Unataka kuelekea huko?
 
Nilichosema ni kwamba hao 'wasanii' (Please note the 's) wenu ni kielelezo tosha cha hii 'demokrasia' yenu inapotupeleka wapi. KWENYE UMASKINI WA MILELE.

Sijakataa kwamba wanayo haki ya kufanya wanachofanya. La hasha.Maana uhuru unaoletwa na 'demokrasia' mnayoipigia debe ndio hiyohiyo ilioifikisha nchi kwene hali hii ya UMASKINI WA KUPINDUKIA, pamoja na utajiri unaotuzunguka. Uhuru wa demokrasia butu ndio unaosababisha the genius aristocrats wanakwiba fedha hadi benki kuu, kusaini mikataba ya dizaini ya kina Chifu Mangungo, kula rushwa lakini etc etc hamna hata mmoja wao anayekuwa procecuted na bado wanaendelea kuitwa 'wahishimiwa'..and the 'wasanii' plus the rest of the myopic masses would sit their butts while farting and cheer 'AMEN and LONG LIVE ' democracy!

Changomoto yangu ni jinsi gani hii demokrasia ya kuwaweka masultan madarakani inaovoonekana ni MUHIMU kuliko uhuru wa kiuchumi wa jamii nzima. NDio hapo nikaja sema kwangu ningependezewa zaidi niishi kwene nchi ya watu wasio na uhuru wa kuwaweka masultan madarakani lakini wananchi wake wana uhuru wa kimaisha.
 
Demokrasia na uhuru wa kiuchumi ni vitu vinavyoenda pamoja, kama una sehemu ambapo demokrasia na uhuru wa kiuchumi vinaweza kusigizana, kuvioanisha viwili hivi kutakuwa ni rahisi zaidi kuliko kuleta mfumo usiofuata demokrasia.

At the risk of sounding utopian, wakuu waioujua uhuru huko nyuma walisema ni bora kuwa maskini huru kuliko kuwa tajiri mtumwa, mimi nasema ni bora kuwa maskini mwenye demokrasia ya kweli kuliko tajiri asiye demokrasia ya kweli. Kwa sababu, tunarudi pale pale kwenye first principles, every one has a right to decide their own destiny, hata kama ni mbovu kwake yeye individualy na collectively to the society.

Ndipo hapo Ikulu ilipo quote - na apparently kukubaliana- na an Amsterdam Schiphol airport toilet's proclamation.

A million flies eat shyt, they can't be wrong.
 
Demokrasia na uhuru wa kiuchumi ni vitu vinavyoenda pamoja, kama una sehemu ambapo demokrasia na uhuru wa kiuchumi vinaweza kusigizana, kuvioanisha viwili hivi kutakuwa ni rahisi zaidi kuliko kuleta mfumo usiofuata demokrasia.

At the risk of sounding utopian, wakuu waioujua uhuru huko nyuma walisema ni bora kuwa maskini huru kuliko kuwa tajiri mtumwa, mimi nasema ni bora kuwa maskini mwenye demokrasia ya kweli kuliko tajiri asiye demokrasia ya kweli. Kwa sababu, tunarudi pale pale kwenye first principles, every one has a right to decide their own destiny, hata kama ni mbovu kwake yeye individualy na collectively to the society.

Ndipo hapo Ikulu ilipo quote - na apparently kukubaliana- na an Amsterdam toilet's proclamation.

A million flies eat shyt, they can't be wrong.

Vyama vingi Tz vina karibu miongo miwili sasa tangia kupitishwa na kutambuliwa kisheria, sijui labda wewe unaona vinaendana na maendeleo ya kiuchumi ???. Hongera kwa kuona vitu ambavyo sie wengine HATUVIONI.

Halafu hapa hatuzungumzii UTUMWA ule wa forced labor n.k, tunazungumzia uhuru wa watu kutoa maoni. Kaa ni forced labor ukiichambua unaeza kuta hata mtumishi wa serikali ni forced labor vilevile.

Again,

FVCK THIS STUPID 'DEMOCRACY'!
 
Hao vijana wanafanya biashara bila hata kufikiria hali halisi ya sasa hivi katika maisha ya mtanzania. Ni sawa na Shekh kufungua duka la nyama na kuuza hata kiti moto bila kujali imani yake na waislamu wenye imani ya kweli ili mradi apate fedha. Hao ndio wanalia kila siku serikali ya CCM haiwasaidii kwenye kusimamia 'hati miliki', sasa wajue kwamba wanachangia CCM ili waweze kudhulumiwa mauzo yao ya miziki na albamu wanazotoa na wadosi na watu wengine mpaka watakoma na kuacha fani hiyo au kufa masikini.

Pia nafikiri wanajaribu kutafuta unafuu wa maisha au wamepewa ahadi hewa; mwaka 1995 Remi Ongala alimsifia Mrema katika wimbo wake mmoja, serikali wakamwabia yeye sio raia, kesho yake akawasifia CCM na kurudi kuwa raia: lakini hawa vijana ni raia (ingawaje sina uhakika sana). Pia nafikiri uelewa wao pia ni mdogo!
 
Fundamentally, every person has a right to decide his/ her own destiny. And even after deciding on it, that same person has the right to change his/her mind, change it back again, change it again, and so on and so forth. As long as no breaking of contract is involved.

As the concept of "betrayal" can be very therapeutic, if not consoling, to those who did not get their way, a certain degree of eminence - lacking in some of our members as evidenced in this thread- is required to completely grasp this dear truism of the human condition.

The political process is dotted - if not littered- with an ever increasing torrent of new information being available with each passing day.Even if these fellows had committed to campaign for the opposition (which they didn't) I would not see anything wrong with them changing their minds and campaigning for CCM.

That is the essence of democracy, free thought, freedom of expression and political affiliation not to mention the freedom to exercise economic calculations.Once you deviate from this essence, you immediately plunge into a thinly veiled supposedly "oppositional" and "progressive" totalitarianism and Borg-like collectivism.

We have to learn to embrace the paramount prominence of individual choice even when contrasted with the attainment of a collective goal.For what is a collective goal attained without the heartfelt conviction of individuals? It is a mere farce, to be deplored rather than adored.

It is uncontested that in the annals of human action the individual interest always takes precedence over the utopia of a collective goal. These fellows are only acting in what they believe to be their best individual interests.

You can't knock their hustle.

In red: you are right but that person must be mentally feeble, s/he may not achieve what he wants. In short such a person will never win respect for he lacks a firm stand. According to JK that person falls under 70% of Tanzanians who follow others without thinking. Sometimes such people who do not have a firm stand should be directed/ told/ shown a right way! Those who change their minds frequently like chameleon changing its colours or a litmus paper are hypocrisy, chicken hearted, not courageous, not determined, don't have a clear vision. We had people in schools in those old days nicknamed 'litmus paper' and we hated them.

Mind you this is the issue of nation/ community destiny which is stipulated in our constitution, poverty eradication strategies and vision 2025.
 
Dudubaya ameshawaonya wasanii kama hawa mara nyingi sana, ila hawasikii..... ni njaa tu zinazowasumbua..... KWELI MSANII MZIMAUKAJIDHALILISHA KWA SABABU YA NJAA???? NAFIKIRI KUNA HAJA YA KATIBU MKUU MAKAMBA KUWAPATIA KADI ZA CHAMA HAWA WASANII WOTE. TUNATEGEMEA PIA KUONYESHWA SHEREHE YA KUKABIDHIWA KADI ZAO HIVI PUNDE, MAANA WANA-AIBISHA SANAA YA MUZIKI....

HERI YA MSANII NAKAAYA SUMARI ALIYE-DECLARE KWAMBA YEYE NI CHADEMA.........
 
Hawa wajinga wa CHADEMA na uzalendo wao JF tu. Nyie mmefanya nini kuikomboa Tanzania mpaka muwalaumu hao wasanii?

Tanzania ni nchi huru na kila mmoja ana haki kikatiba kuamua kuunga mkono chama chochote akitakacho.

Kama mmeshindwa kuwashawishi watu kwa hoja waje upande wenu, mnafikiri mtashawishi kwa matusi? Hovyooooo!

Angalia mjinga huyu. Hivi matusi yako wapi? watu wanasema ukweli anayaita matusi. Unataka tukutukane? hata hivyo si ustaarabu wa JF kutukana ila tunasema kweli.

Na wala usidhani kusema kwetu hapa hakumaanishi hatugombei. Tutagombea kabisa mwezi wa kumi tuko wote.

Tunawaacha kwanza mparulane macho huko sisi M kwenu kwa kiherehere chenu cha kujifanya mnaipenda sisi M kumbe ni njaa tu.
Sawa kama huipendi chadema kwa nini usiende chama kingine zaidi ya hiki kilichooza cha sisi M?

Tusubiliane majimboni twaja huko huko. Wezi wakubwa nyinyi!
 
Huyu Jmushi ni Taliban wa CHADEMA, yeyote asiyeshabikia CHADEMA ni mamluki, kichaa, mwenye njaa nk. Wameshindwa hoja, wamegeuka viroja.

Msanii akishabikia CHADEMA ni sawa lakini akifanya hivyo hivyo kushabikia CCM ni mamluki. Kumbe ile haki kikatiba kuamua utakavyo bila kupachikwa majina haipo tena?

Kama mnataka CHADEMA iungwe mkono na watu wengi, iondoeni kuwa chama cha clan na kuifanya ya taifa.
Na nyie mkitaka tukubali cha kwenu ondoeni wizi, rushwa ambavyo siku hizi tunaviita ufisadi. Lakini ondoeni na udini pia.

Hamna lolote wezi wakubwa nyie
 
Maswala ya msingi yanayozungumziwa hapa yameenda zaidi ya Tanzania na demokrasia. Kimsingi tunaongelea haki ya mtu mmoja kuamua maswala yake mwenyewe.

Dunia nzima, ukiondoa China, North Korea, Cuba na vi pockets vingine vilivyo largely insignificant, ishakubali kwa njia moja au nyingine kwamba demokrasia ndiyo njia ya kwenda.

Kuna utawa fulani katika kufuata kanuni ya "wengi wape" hata kama wajinga.Ukiondoka katika kanuni hiyo unaanza kujongea kwenye Aryanism na Nazism, ambapo utataka kuwa test IQ watu wako na kuua wenye low IQ wote ili ku preserve a master race.

Unataka kuelekea huko? Mi nadhani kuliko huu tulionao natamani nilio highlight
 
Wasanii na waandishi ndio watu ambao hutumainiwa sana kuifundisha jamii kuhusu mwelekeo wa nchi; nawapongeza sana Mrisho Mpoto pamoja na Nakaaya Sumari kwa kujaribu kufanya hivyo.

Nikiangalia jinsi waandishi walivyopiga foleni kugombea vyeo vya CCM mwaka juzi, halafu na hawa wana bongofleva walivyojipanga kuipigia debe CCM, basi naona kuwa kada hii nayo imeamua kututosa kabisa. Haya ni matokeo ya vitu viwili tu; ufukara wa mali na umaskini wa mawazo.

Hapa umemaliza yote Mkuu. Hata hivyo tunahitaji watu wa kuwaamsha vijana hawa ili waelewe wanachokifanya. I still believe we need a very strong opposition party that will educate these youths, and our relatives in villages.
 
Waacheni vijana wafanye biashara bana, kwani kama CCM wamewatumia (kibiashara) ili kuhamisisha watu kuwachangia kuna ubaya gani? Si ndo kazi yao?

Hata vyama vingine vikitaka kuwatumia hao wasanii, naamini watakubali kwa sababu hayo ndo kazi zao eti. Watu wanaowalaumu hawa wasanii sijui kama wao wangekuwa na bidhaa au huduma ya kuwauzia CCM wangekataa!

Waachane vijana waendeshe maisha yao bana.
 
Back
Top Bottom