Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Amekuwa mr kiki
 
Upo sahihi huyo jamaa naona wakati unampita.
 
hahaha 🤣🤣🤣
 
Mmekaa Dar mnafikiri ndio nchi nzima

Huku mikoani tunajiuliza Zuchu ndio nani?
Huku zinalia zaidi za Ibrah
 
Zuchu ndio nani? Labda kahama, niliko hatuwajui hao hata huyo ibrah tunawaonaga tu mitandaoni na kidogo kwenye tv, huku kama hufuatilii muziki huwezi kuwajua hao watoto
Acha porojo hiv umeona mapokezi ya Zuchu kahama?
 
Kondeboy kachemka sana kuwachukua hao madogo, mi naona watamletea hasara zaidi kuliko faida. Hasara ya kwanza ategemee kuwapoteza mashabiki wa Kiba waliokuwa wanamsapoti, pili hao madogo sioni kama wana maajabu
 
Mo
Most viewed song ya ibra ina 7.7m
ya zuchu ina 7m
Almost video zake zote zina hit 1m+

unahitaji.mafanikio gani kwa msanii ambaye ana miezi kadhaa kwenye game zaidi ya hayo? kama utaitazama konde gang kwa kuicompare na wasafi utakuwa una mapungufu kichwani.
Konde gang now wanastrugle kutafuta wafuasi, Wasafi walishatoka huko. kwa mantinki hiyo konde gang wanafanya vizuri tu, unless ujifanye haujui kitu.
 
Clouds hawajare tocover kutokana na pengo la Ruge.
Na nimemsikiia Bdozen anakiri kwamba Ruge angekuwepo asingehama.

So you can guess nini kinaendelea.
Social media influence, kinachotokea kwenye radio na tv media ni kwa sababu ya digital platforms, nothing else. Hata wasanii siku hizi wanatambulisha nyimbo zao huko kwenye digitals, everything hadi exclusives zinaanzia huko, simply asitafutwe mchawi kwenye hili
 
By the way lengo halikuwa kumcmpare Ibra na Zuchu, ila lilikuwa kusema general wise hafanyi vizuri, kama ukitaka kumcompare hata kwenye views za youtube nitakwambia zuchu anafanya vizuri maana nyimbo zake zote zina views 3+ we umechagua wimbo mmoja tu tena aliomshirikisha Harmonize wakati hizo za Zuchu hajamshirikisha diamond angefanya hivyo tungekuwa tunaongelea 10 milions plus.
Si kwamba niko upande wa WCB, actually mimi ni kati ya wale waliokuwa upande wa harmonize alipoondoka WCB ila kwa mambo yalivyo sina hakika kama ataweza simamisha label yenye wasanii wenye nguvu maana anagusa gusa vitu.
Tumpe muda lakini huenda siko sahihi.
 
Wanakumbwa na upepo uliyo yakumba magazeti, siku hizi huhitaji kusoma magazeti kupata habari za wasanii maana unazipata instantly. Halafu pia vipindi vya redio navyo vimekuwa kama vinafanana interview za wasanii ni zile zile utasikia mambo yale yale uliyokwisa yasikia.
Unachosema ni kweli diital platforms zimekuwa na nguvu sana msanii anaweza toa wimbo akaupromote insta akauweka kwenye diital platforms na ukaenda.
 
Muziki siyo views, Kwasababu kuna zingine ni paid views.

In short huwa Zuchu kagharamikiwa sana kiasi gani hata matokeo ya huo uwekezaji yalitakiwa kuzidi hapo.
- Kuanzia branding affair Mlimani City

- Paid Views kumtangaza

- Beef za kulazimisha

& Both media and social media campaign

- Ukiwekeza mtaji wa elfu hutakiwi kuoata faida sawa na aliwekeza milioni 10 .

Itakuwa ni totat failure
 
Lazima uinvest ndipo upate matokeo mazuri, investment kwake ni kumpromote, kumbrand, haijalishi njia gani watatumia lakini the end justifies the means.
Hata Harmonize wakati anatoka aligharamiwa, akabrandiwa, akatoa hit songs lakini bado hawakuruhusu afanye show kwa kipindi flani wakiwa wametarget awe hot.
Kwa sasa mziki ni technique kama vita vile kuna hata michezo rafu inachezwa ni kubaki kulia au nawe ucheze michezo hiyo hiyo, otherwise baada ya muda watu wanakusahau.
Jiulize kuna wasanii wangapi wanajua sana kuimba lakini ni kama vile wamesahaulika wanatoa nyimbo unakuta zina views 100k.
 
Hiyo ya Ibra yenye 7.7 Ina muda gani ukilinganisha na ya zuchu 7.0
Zuchu ni brandly artist hata magu ana mjua
 
Hii view ilikuja kipindi wanatambulishwa na hawajawah kuongezeka
 

Nyimbo yenyewe iko kwenye Account ya Harmonize halafu unamlinganisha na ya Zuchu ambazo nyimbo zote ziko kwenye account yake kweli mkuu?![emoji23]

Zuchu amefanikiwa kwa kiasi kikubwa Sanaa!
 
Hua ninawaambia wadau wanabisha,kua harmonize bado anatembea na Hari ya wasafi
Hao akina ibra na wengine bado Wana Hari ya wasafi wasafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…