Jembe ni jembe hajui lolote mnampamba tuuu, alishafelisha program kibao before, Yes amefanikisha kumpigia chapuo kondeboy dili la sayona na CRDB nothing else, kaanzisha jembe ni jembe club , beach resort na jembe redio kule mwanza , zimeshine dk mbili now zipo ICU , akaanzisha jembeka festival kapiga mwaka mmoja tu wa pili chalii, Diamond kamchomolea show kibao jamaa akafura kwa hasira akaamua kumshawishi kondeboy na amemchukua harmonize akiwa hot cake na akiwa ni matokeo ya bitter struggle ya Diamond Platnumz ,....
Test yake ilikuwa Kwa Ibraah kama kawaida wimbo wa Kwanza ukakik , wa pili ukabuma tukaambiwa accnt yake YouTube haiko verified na bla blah kibao , wa tatu umetoka audio juzi , kwenye trending sjui Haupo mana naona wanyabi Tu instead ,
Wakamsign skales, yes Kwa mtu anayejielewa was a great deal lakn sjaona improvement ya nyimbo za skales Kwa ukanda huu wa East Africa , ....
Hatujakaa Sawa , Mara paap vijana wasio na makao from king music wametua Konde gang, .....
Sina mashaka na uwezo wa kondeboy maana with a lot of energy somehow he managed to survive sinking, .....
Ila Nina mashaka na uwezo wa jembe ni jembe kuhandle for a long Konde gang....
Pesa anazozitumia ni Yale mabilion aliyopiga Baba ake wa kambo pind akiwa wazir serikal ya kikwete...