Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Anaropoka tu kwa chuki zake
 
Chuki zinamponza uyo bwegege
 
Najiuliza hivi hawa wasanii wangekuwa wamechukuliwa na WCB,humu pange chafuka threads zingekuwa 100 nakutabiri "wanaenda kudhulumiwa".

Naona ndugu yangu Robidinyo sijui hana habari au ameamua kukaa kimya.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ngojea tuwape muda,siku zote muda huwa unaongea.Nampa pole Kiba kwa kufanya kazi ya Kanisa mpaka kuiconvert label na sasa mwenyewe anaiita College.

kuwekeza kwa wana mziki wa bongo kazi sito shangaa hao watoto waki mgeuka Konde.
 
Utaona mfano Zuchu anafanya poa, huwezi mcompare na Ibra achilia mbali kumlinganisha na Zuchu Ibra hafanyi poa huwezi kucompare hata kipinfi wakina Mario wanatoka.
Any way ngoja tujipe muda.
Zuchu anafanya poa kwa nyimbo zipi hebu tuacheni bwana...promo hadi mnapata vikohozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…