jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Anaropoka tu kwa chuki zakeIbrah hujui anapoelekea unataka aelekee wapi labda ?
kwahiyo unampangia MTU mipango yake?
Kuwa amsaini nani si ndio?
Halafu skales hajafika popote hivi unamjua vizuri ama?
Skales ni msanii mkubwa tayari mpka huku tulimfahamu kabla ya hata kusign na konde gang.
MTU kama wewe hujawahi hata kuwepo hujawahi hata kuwepo kwenye industry ya mziki halafu unajifanya bingwa wa kutabiri maanguko ya watu
Harmonize akipotea wewe unafaidika nini?