Wasanii wa Bongo Flavour wanapataje pesa kupitia Streaming, Audiomack na Boomplay?

Wasanii wa Bongo Flavour wanapataje pesa kupitia Streaming, Audiomack na Boomplay?

Sugar dady

Senior Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
131
Reaction score
194
Habari zenu wadau wa Sanaa,

Kama hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa haya mambo anijuze jinsi wasanii wanavyopata pesa kupitia streams wakati hatulipii chochote zaidi ya MB tu.

Wanalipwaje? Pesa zinatoka wapi?

Ni hayo tu wadau

Sugar daddy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
heading yako imetuleta mbio kumbe nawe wataka kujua, wanakuja wataalamu
 
Deal za watu hakuna jibu la maana utapewa hapa
 
mimi nadhani wanazi wa wcb watakuwa na maelezo ya kutosha kabisa,maana wasanii wao ndio wanaongoza kwa kupiga mihela huko apple play,boom play sportfy nk.

naskia kila wimbo unaponunuliwa anachukua 750.so ukinunuliwa mara 250000×750=ndio maana wanawakimbiza wasanii wengine.

Duuh!!sawa mkuu..waje wajuzi zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Analipwa na network provider kutokana na viewers wanavyotumia mb..

Kama video iko you tube watazamaji watakavyotembelea mara nyingi pesa inaongezeka ..pia kuna conditions zake kama vile uwe na subscribers elfu moja na nk...

Ngoja waje wenye Kazi zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mb , unazotumia wewe kuscream ndo zinabadilika zinakuwa pesa .maana wewe Mb uzipati bure.
 
Back
Top Bottom