Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari!
Wasanii wa bongo walikuwa na mashindano yao walikuwa wanaumiza vichwa kufanya kazi zao kwa bidii na nguvu zote.
Sasa hivi karibuni yale mashindano na majigambo walikuwa wanatupiana nani amefanya kazi nzuri huku wakiamini YouTube Views ndio zinapoma ubora wa kazi zao.
Mambo yamekuwa si mambo takribani week ya pili sasa inaenda kukamilika YouTube pamekuwa kimya kilichoambatana na giza zito.
Giza hili halijulikani litaisha lini maana kwa mitandao mingine pia hali inaendelea kuwa tete.
Wale wale kundi kubwa walisahau kuwa tunaishi nyumba moja kwahiyo kama mwenye nyumba anavurugu basi vurugu tutazipata wote.
Pia kama mwenye nyumba ni mwema basi wema tungepata wote.
Haya tuendelee kutazama ila yale mashindano ya nani mwenye YouTube Views sasa kimya kabisa.