tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kuna mwingine akija chuga anaona aibu kulala kwao,analala hotelNimeshangaa wagawa marange, wanatumia pesa kutunza, matajiri wa bilioni na bilioni wakishindwa kumsaidia dada aliyefariki na wao wakitembeza bakuli.
Wasanii acheni uongo na ugonjwa ndiyo utajua utajiri wako
Kwanini anafanya hivo??Kuna mwingine akija chuga anaona aibu kulala kwao,analala hotel
Ni lini umenunua kazi ya Msanii au ni nani mtu wako wa karibu umeona ana tabia ya kununua au wote ni mwendo wa piracy ?!!!
Kwahio usishangae kama tasnia hii haina pesa za kumwaga; vilevile playing the part ndio usanii wenyewe (wanauza a status they need to portray being stars / better than average)
Anyway badala ya kulaumu watu wanakosa huduma muhimu (basic need) kwa watunga sera kutokufikisha huduma hizi muhimu unalaumu kwanini watu wasichangiane / tembeza bakuli ? Kodi zetu zinafanya nini ?