Wasanii wa bongo kumbe ni maskini wa kutupa

Wasanii wa bongo kumbe ni maskini wa kutupa

Fake style of life.
Ila hata huyo dai sijui kiba mengine wawe wanayamaliza kimya kimya
 
Zamaradi anashindwa kumpa laki 2 mkaka wake Wa kazi mwee...hii Dunia hiii
 
Ni lini umenunua kazi ya Msanii au ni nani mtu wako wa karibu umeona ana tabia ya kununua au wote ni mwendo wa piracy ?!!!

Kwahio usishangae kama tasnia hii haina pesa za kumwaga; vilevile playing the part ndio usanii wenyewe (wanauza a status they need to portray being stars / better than average)

Anyway badala ya kulaumu watu wanakosa huduma muhimu (basic need) kwa watunga sera kutokufikisha huduma hizi muhimu unalaumu kwanini watu wasichangiane / tembeza bakuli ? Kodi zetu zinafanya nini ?

Una akili sana, big up mkuu.
 
Back
Top Bottom