Benfamous
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 484
- 375
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa kazi ninazofanya hazinipi muda wa tv wala radio ila zinahusiana na muziki, jiangalie.wapi nimemsifu Aslay? huo ni mfano tu, alaf linapokuja swala la muziki bora ukakaa kimya tu, usiongee kabisaa, pili sijaona point yako ata moja hapo uliyoizungumzia zaidi ya kuleta u xxl tu, okei sikulaumu maana unategemea clouds fm ili kujua, so nakuachia hapa.
Kataa kataaa leta kataa kataa leta...!!
Davido ni Kiboko.
Chorus fupi ila imefunika maneno yote ya J.Makini....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana hatuendelei
I
Nimepotezaa muda wangu kuusoma huu ujumbe wa kukatisha wasanii wetu tamaaaaa mtoa maaada hovyo kabisa ...................
Sent using Jamii Forums mobile app