Wasanii wa Bongo nani kawaroga?

Wasanii wa Bongo nani kawaroga?

Ukweli mtupo, sana sana almasi apunguze kuwaiga wanaigeria

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
wapi nimemsifu Aslay? huo ni mfano tu, alaf linapokuja swala la muziki bora ukakaa kimya tu, usiongee kabisaa, pili sijaona point yako ata moja hapo uliyoizungumzia zaidi ya kuleta u xxl tu, okei sikulaumu maana unategemea clouds fm ili kujua, so nakuachia hapa.
We jamaa kazi ninazofanya hazinipi muda wa tv wala radio ila zinahusiana na muziki, jiangalie.
 
Wasanii wa bongo hawapendi sijui au hawajui kufanya collabo za wao kwa wao ambazo ni serious zenye malengo kisoko.
 
Broo mtoa mada si useme tu hii ni promo ya kijanja... Coz ulisema video ya msanii mbaya watu watakimbilia youtube wakauone ubaya wa hiyo video, so video inapata views zaidi. Wamekulipa sh ngapi upige hii promo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom