Wasanii wa Bongo nani kawaroga?

Ukweli mtupo, sana sana almasi apunguze kuwaiga wanaigeria

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
We jamaa kazi ninazofanya hazinipi muda wa tv wala radio ila zinahusiana na muziki, jiangalie.
 
Wasanii wa bongo hawapendi sijui au hawajui kufanya collabo za wao kwa wao ambazo ni serious zenye malengo kisoko.
 
Broo mtoa mada si useme tu hii ni promo ya kijanja... Coz ulisema video ya msanii mbaya watu watakimbilia youtube wakauone ubaya wa hiyo video, so video inapata views zaidi. Wamekulipa sh ngapi upige hii promo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…