Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

Huyu Idris alifanya kosa la kwanza la utani kwa Mh Rais akahenyeshwa Central halafu hata miezi 6 haijapita anamtania tena Mh Rais

Huyu alifanya kosa huku akijua ni kosa, unaanzaje kumuonea huruma muache apambanie kombe mwenyewe

Ukisema anafosi kipaji unaonekana humpendi yaani kakosa content zingine mpaka ile ile ya Rais
 
Huwa nasema kila siku Idris analazimisha kipaji.. kitu anachofanya sio chake halafu watu wengi hawamuelewi. Wakati umefika ajitathmini na kuacha kabisa inshu ya ukomediani

Nakubaliana na wewe sijawahi kuelewa comedy ya jamaa, hua naona kama anatumia nguvu nyingi sana ili watu wacheke lakini sijawahi kucheka even once. Mpoki and the crew ni natural comedians. Ila tumpe muda anaweza akajifunza.
 
Huwa nasema kila siku Idris analazimisha kipaji.. kitu anachofanya sio chake halafu watu wengi hawamuelewi. Wakati umefika ajitathmini na kuacha kabisa inshu ya ukomediani
Hiyo ni ajali kazini mzee. Sio kila kipaji kitamfurahisha kila mtu.

Hili litapita kwake na ataendelea na maisha kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe sijawahi kuelewa comedy ya jamaa, hua naona kama anatumia nguvu nyingi sana ili watu wacheke lakini sijawahi kucheka even once. Mpoki and the crew ni natural comedians. Ila tumpe muda anaweza akajifunza.
Aombe hata ushauri kwa malegendary.. kazi ya ukomedian ina protocols zake, akishindwa kuzijua ataishia mikononi wa polisi kila kukicha
 
MR. IBU,
Mdhihaki akiwa hana cheo cha ‘Urais’ lakini pindi akiwa nacho hata wewe usithubutu..!

Idriss hajui mipaka ya kazi yake Period..!
 
USA ya wapi unaongelea? Au ya Arusha? Marekani mtu anaweza aka tweet 'f $%uck you trump" na akamtag trump mwenyewe asifanywe kitu. Usitake kupotosha umma.
Ndio maana mnaishia jela,!

Kwa hiyo mkiwa na hivyo visimu vyenu mmetundika miguu kwenye kochi za nyumbani kwa shemeji zenu basi mnajiona mko USA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana mnaishia jela,!

Kwa hiyo mkiwa na hivyo visimu vyenu mmetundika miguu kwenye kochi za nyumbani kwa shemeji zenu basi mnajiona mko USA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachanganya demokrasia ya Bongo na ya USA hawa vijana.

Sie demokrasia yetu bado inatumia kabureta kuwasha mpaka utemee mafuta kwenye pampu.

Wenzetu wameshafika level za VVt-i huko kila kitu kinaenda kwa sensor tu ama utaratibu kamili. Washatokaga kwenye zama za kunyamazishana midomo.
 
Tupo nae pamoja katika keyboard mkuu!

Waswahili wanasemaga Kenge huwa hasikii mpaka zimtoke damu za masikioni. Mwache avune alichokipanda, Raisi ni taasisi kubwa sio kitu cha kufanyia Comedy ila apate like na comment.
Ni kama yule mdude!
Yani mtu unakosoa lakini kila baada ya maneno 5 unaweka tusi. Lazima uishie kuzimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana mnaishia jela,!

Kwa hiyo mkiwa na hivyo visimu vyenu mmetundika miguu kwenye kochi za nyumbani kwa shemeji zenu basi mnajiona mko USA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikai kwa shemeji nitake radhi. Anyways Rais sio mungu eti hakosolewi. Trevor Noah katengeneza career yake kwa kumsimanga Trump kupitia show yake. Mimi sio fan wa Trevor Noah na Idriss Sultan lakini kama mtu mzima anatakiwa kua na hekima. Sio kila vita lazma aipigane. Watu kama Idris ni insignificant sana kumtesa hakutosaidia wala kumuongezea heshima mkulu. Bali inakua kinyume.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Snoop Dogg alitoa video anashoot sanamu la rais Trump.

Kanye West akasema Trump ni punga.

Jay Z akasupport kampeni ya 'Not my President'

Na mengine kibao.

Hao wote nasikia wamefungwa muda mrefu kweli kweli.
 
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana

ahahahahahahhaha.......... 😆 😆 😆 😆 😆 😆 yaani wewe ndio haujielewi kabisa....Marekani hawani huo upunguani....Rais wa Marekani huwa anadhihakiwa na kutukanwa kuliko hata hili alilolifanya Idriss...
 
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Snoop Dogg aliachia video anashut sanamu ya Trump

Kanye West akasema Trump ni punga.

Jay Z akasupport kampeni ya 'Not my President'

Na mengine kibao.

Hao wote nasikia wamefungwa gerezani muda mrefu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom