Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Hapo utakuta Trump naye anajibu tena anatoa tusi nzito
Eeh Trump anapenda twitter battle. Ila hajaiwahi kumjibu Eminem tu 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo utakuta Trump naye anajibu tena anatoa tusi nzito
Huwa nasema kila siku Idris analazimisha kipaji.. kitu anachofanya sio chake halafu watu wengi hawamuelewi. Wakati umefika ajitathmini na kuacha kabisa inshu ya ukomediani
Hiyo ni ajali kazini mzee. Sio kila kipaji kitamfurahisha kila mtu.Huwa nasema kila siku Idris analazimisha kipaji.. kitu anachofanya sio chake halafu watu wengi hawamuelewi. Wakati umefika ajitathmini na kuacha kabisa inshu ya ukomediani
Aombe hata ushauri kwa malegendary.. kazi ya ukomedian ina protocols zake, akishindwa kuzijua ataishia mikononi wa polisi kila kukichaNakubaliana na wewe sijawahi kuelewa comedy ya jamaa, hua naona kama anatumia nguvu nyingi sana ili watu wacheke lakini sijawahi kucheka even once. Mpoki and the crew ni natural comedians. Ila tumpe muda anaweza akajifunza.
Achana na hilo zombie bia yetuUSA ya wapi unaongelea? Au ya Arusha? Marekani mtu anaweza aka tweet 'f $%uck you trump" na akamtag trump mwenyewe asifanywe kitu. Usitake kupotosha umma.
Ndio maana mnaishia jela,!USA ya wapi unaongelea? Au ya Arusha? Marekani mtu anaweza aka tweet 'f $%uck you trump" na akamtag trump mwenyewe asifanywe kitu. Usitake kupotosha umma.
Wewe chattle ndio USA unayoijua eehHuyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
jibu swali ni USA ipiNdio maana mnaishia jela,!
Kwa hiyo mkiwa na hivyo visimu vyenu mmetundika miguu kwenye kochi za nyumbani kwa shemeji zenu basi mnajiona mko USA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachanganya demokrasia ya Bongo na ya USA hawa vijana.Ndio maana mnaishia jela,!
Kwa hiyo mkiwa na hivyo visimu vyenu mmetundika miguu kwenye kochi za nyumbani kwa shemeji zenu basi mnajiona mko USA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama yule mdude!Tupo nae pamoja katika keyboard mkuu!
Waswahili wanasemaga Kenge huwa hasikii mpaka zimtoke damu za masikioni. Mwache avune alichokipanda, Raisi ni taasisi kubwa sio kitu cha kufanyia Comedy ila apate like na comment.
Sikai kwa shemeji nitake radhi. Anyways Rais sio mungu eti hakosolewi. Trevor Noah katengeneza career yake kwa kumsimanga Trump kupitia show yake. Mimi sio fan wa Trevor Noah na Idriss Sultan lakini kama mtu mzima anatakiwa kua na hekima. Sio kila vita lazma aipigane. Watu kama Idris ni insignificant sana kumtesa hakutosaidia wala kumuongezea heshima mkulu. Bali inakua kinyume.Ndio maana mnaishia jela,!
Kwa hiyo mkiwa na hivyo visimu vyenu mmetundika miguu kwenye kochi za nyumbani kwa shemeji zenu basi mnajiona mko USA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Snoop Dogg alitoa video anashoot sanamu la rais Trump.Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Nani amesema lile ni kosa kucheka kuna kosa gani...kwani alizungumza kitu pale...No-senseHuyu Idrisa amefanya kosa akijua ni kosa (deliberately). Sasa hapo unamsaidiaje?
Snoop Dogg aliachia video anashut sanamu ya TrumpHuyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana