George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Huwa unanifurahisha sana mkongwe!Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa unanifurahisha sana mkongwe!Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Huyu kijana apambane na hali take ni mpuuzi sanaHabari wakuu,
Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.
Msanii Idris Sultani (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.
Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.
Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katia maisha.
Unaongelea usa river ya arusha labdaHuyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Kucheka picha ni kosa?Huyu kijana apambane na hali take ni mpuuzi sana
USA gani unayouzungumzia ww...?Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
USA ya akina Emminem, Snoop dog n Jay zNdio maana mnaishia jela,!
Kwa hiyo mkiwa na hivyo visimu vyenu mmetundika miguu kwenye kochi za nyumbani kwa shemeji zenu basi mnajiona mko USA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waswahili pia walusema MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO kaka.Habari wakuu,
Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.
Msanii Idris Sultan (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.
Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.
Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katika maisha.
Hapo utakuta Trump naye anajibu tena anatoa tusi nzito
Wanaogopa serikale. Ila I am sure mioyoni mwao wako nae.
Ni kwel uyu mtoa comment jau kweli kat Juz Spika wa bunge anarushiana maneno waz waz na Trump alimwambia Trump ni mzee sana na hizo C.Quine anazotumia zitamuua..Akaja Trump akamwambia Atamnyoosha mbibi Gani Ata Hajielewi.USA ya wapi unaongelea? Au ya Arusha? Marekani mtu anaweza aka tweet 'f $%uck you trump" na akamtag trump mwenyewe asifanywe kitu. Usitake kupotosha umma.
USA ya ushirombo labdaUSA ya wapi unaongelea? Au ya Arusha? Marekani mtu anaweza aka tweet 'f $%uck you trump" na akamtag trump mwenyewe asifanywe kitu. Usitake kupotosha umma.
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Naunga mkono hoja 100%Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Watanzania kwa ujumla wenu ni waoga na wanafiki wa level ya hali ya juuHabari wakuu,
Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.
Msanii Idris Sultan (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.
Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.
Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katika maisha.
USA ya ushirombo labda
juzi tu hapa trump kadissiwa na dole la kati tena na demu tu
Asiifananishe USA na upuuzi upuuzi
Ni kweli lkn utamaduni wa kipuuzi hivi usipokemewa tunaenda pabaya, kuna siku mtu mzima utakishikwa makalio au kipigwa kidole mbele za watoto wa shule. Urais ni taasisi utashughulikiwa na wengine huenda hata rais hajui.Sikai kwa shemeji nitake radhi. Anyways Rais sio mungu eti hakosolewi. Trevor Noah katengeneza career yake kwa kumsimanga Trump kupitia show yake. Mimi sio fan wa Trevor Noah na Idriss Sultan lakini kama mtu mzima anatakiwa kua na hekima. Sio kila vita lazma aipigane. Watu kama Idris ni insignificant sana kumtesa hakutosaidia wala kumuongezea heshima mkulu. Bali inakua kinyume.
Sent From Galaxy S20 Ultra
Sio tu kutukanwa hata dhihaka si kwa Rais tu hata kwa mtu yoyote si nzuriUnaona sawa Rais kutukanwa hivyo ? Tanzania sio Nchi ya washenzi km huko