Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

Habari wakuu,

Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.

Msanii Idris Sultani (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.

Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.

Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katia maisha.
Huyu kijana apambane na hali take ni mpuuzi sana
 
Ushaona utani a
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !

Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Unaongelea usa river ya arusha labda
Screenshot_20200524-135801_Chrome~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwana samata alimpost.

Sent using motorola
 
Habari wakuu,

Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.

Msanii Idris Sultan (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.

Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.

Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katika maisha.
Waswahili pia walusema MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA ya wapi unaongelea? Au ya Arusha? Marekani mtu anaweza aka tweet 'f $%uck you trump" na akamtag trump mwenyewe asifanywe kitu. Usitake kupotosha umma.
Ni kwel uyu mtoa comment jau kweli kat Juz Spika wa bunge anarushiana maneno waz waz na Trump alimwambia Trump ni mzee sana na hizo C.Quine anazotumia zitamuua..Akaja Trump akamwambia Atamnyoosha mbibi Gani Ata Hajielewi.
Achilia mbali Kuchana ile Hotuba yake
 
USA ya wapi unaongelea? Au ya Arusha? Marekani mtu anaweza aka tweet 'f $%uck you trump" na akamtag trump mwenyewe asifanywe kitu. Usitake kupotosha umma.
USA ya ushirombo labda
juzi tu hapa trump kadissiwa na dole la kati tena na demu tu
Asiifananishe USA na upuuzi upuuzi
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !

Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
 
Habari wakuu,

Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.

Msanii Idris Sultan (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.

Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.

Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katika maisha.
Watanzania kwa ujumla wenu ni waoga na wanafiki wa level ya hali ya juu
 
Sikai kwa shemeji nitake radhi. Anyways Rais sio mungu eti hakosolewi. Trevor Noah katengeneza career yake kwa kumsimanga Trump kupitia show yake. Mimi sio fan wa Trevor Noah na Idriss Sultan lakini kama mtu mzima anatakiwa kua na hekima. Sio kila vita lazma aipigane. Watu kama Idris ni insignificant sana kumtesa hakutosaidia wala kumuongezea heshima mkulu. Bali inakua kinyume.

Sent From Galaxy S20 Ultra
Ni kweli lkn utamaduni wa kipuuzi hivi usipokemewa tunaenda pabaya, kuna siku mtu mzima utakishikwa makalio au kipigwa kidole mbele za watoto wa shule. Urais ni taasisi utashughulikiwa na wengine huenda hata rais hajui.
Watu kama Mbowe wanakosoa kwa hekima, akina Mnyika na Lema sio kuwa hawajui matusi lkn sio njia za kufikisha ujumbe
 
Unaona sawa Rais kutukanwa hivyo ? Tanzania sio Nchi ya washenzi km huko
Sio tu kutukanwa hata dhihaka si kwa Rais tu hata kwa mtu yoyote si nzuri
sema vema mambo mengne si ya kutilia maanabi ni kuachana nayo tu
ukishakuwa kiongozi unatakiwa uwe mvumilivu 7bu unakutana na mambo mengi ya kuudhi kukatisha tamaa nk
sasa kudeal na mtu kama idrisa kwa nguvu nyingi inaonesha ni namna gani wanaomshauri Rais hawapo makini
si km trump hajachukia lah ! ila washauri wake wanajua vema namna ya kumshsuri ndo mana kachukulia poa tu maisha yanaenda na si mara ya kwanza au ya piri kutukwana
 
Back
Top Bottom