Hassani
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 900
- 1,632
Ur right tatizo kubwa ni business modelUna pointi lakini unazijua mikatamba wanazoingia na wasanii.
Ma-producer wengi wa bongo wanafanya biashara ya kuuza beat...anatengeneza unaipenda anakuuzia.
Au unaenda unaimba anakusikiliza anatengeneza. Baada ya kuingiza vocal na mastering msanii utajijua wewe.
Nadhani wabadili kwanza namna wanavyofanya biashara zao. Maana ukiniuzia beat mwisho wa siku inakuwa yangu japo mtengenezaji wewe.