Wasanii wa bongo wapeni haki zao ma-producers kabla hawajafa

Wasanii wa bongo wapeni haki zao ma-producers kabla hawajafa

Una pointi lakini unazijua mikatamba wanazoingia na wasanii.

Ma-producer wengi wa bongo wanafanya biashara ya kuuza beat...anatengeneza unaipenda anakuuzia.

Au unaenda unaimba anakusikiliza anatengeneza. Baada ya kuingiza vocal na mastering msanii utajijua wewe.

Nadhani wabadili kwanza namna wanavyofanya biashara zao. Maana ukiniuzia beat mwisho wa siku inakuwa yangu japo mtengenezaji wewe.
Ur right tatizo kubwa ni business model
 
Hawauzagi beat ..wasanii wanalipia studio session then inatakiwa kupitiq hiyo nyimbo producer awe ananufaika kupitia. Shows,ring tones .n.k .ndo maana ikitokea labda kampuni flan inataka kufanya tangazo kwenye nyimbo ya msanii flan lazima na producer ahusishwe kwenye mapato ...tatzo LA producers hawana umoja na pia hawana misimamo juu ya haki zao so wanaendeshwa endeshwa tuu ....
Unasema ilivyotakiwa iwe.... ila wengi karibu wote wanafanya nilivyoandika.

Kamawangekuwa wanafanya ulivyoandika haya malalamiko yasingekuwepo.

Sitaki kutaja ila kuna studio kubwa tu hapa mjini ukienda unasikilizishwa beat au unaimba unachorewa.

unatoa pesa unapewa risiti hata kamkataba ka kazi hakapo. Kibao tu wanafanya hivi.
 
Mkataba ndo kila kitu akizembia apo basi atakula ujinga wake ...dunia ya sasa kila kitu maelewano uwaminifu fyekelea mbali tupa huko ...
 
Ni sawa na kusema daktari amlipe percent fulani mwalimu aliyemfundisha primary au sekondary...
 
Maproducer wenyewe ndio tatizo kwa maana hawana umoja, unakuta producer mmoja amegoma kumrekodia msanii ngoma kwa laki 3, msanii anasepa anaenda kwa producer mwingine mkubwa tu anamrekodia kwa laki 2, sasa hapo utasema tatizo ni nani? Vivohivyo kwa watu wa video, unakuta kaenda kwa Hanscana kampa bajeti ya mil5, akienda kwa Ivan anampa bajeti ya mil3 kwa video yenye mahitaji yaleyale, so utasemaje hapo?
 
Back
Top Bottom