Ur right tatizo kubwa ni business modelUna pointi lakini unazijua mikatamba wanazoingia na wasanii.
Ma-producer wengi wa bongo wanafanya biashara ya kuuza beat...anatengeneza unaipenda anakuuzia.
Au unaenda unaimba anakusikiliza anatengeneza. Baada ya kuingiza vocal na mastering msanii utajijua wewe.
Nadhani wabadili kwanza namna wanavyofanya biashara zao. Maana ukiniuzia beat mwisho wa siku inakuwa yangu japo mtengenezaji wewe.
Unasema ilivyotakiwa iwe.... ila wengi karibu wote wanafanya nilivyoandika.Hawauzagi beat ..wasanii wanalipia studio session then inatakiwa kupitiq hiyo nyimbo producer awe ananufaika kupitia. Shows,ring tones .n.k .ndo maana ikitokea labda kampuni flan inataka kufanya tangazo kwenye nyimbo ya msanii flan lazima na producer ahusishwe kwenye mapato ...tatzo LA producers hawana umoja na pia hawana misimamo juu ya haki zao so wanaendeshwa endeshwa tuu ....