Wasanii wa bongofleva wasio na mionekano ya kisanii kabisa

Muonekano wa kisanii ni upi mkuu... Kuvaa kama msanii ndo kuvaaje?
 
Timbulo na Sunday Linex Mjeda. Hawa jamaa wawili vipaji wanavyo sema wanasura za kienyeji sana.
 
Uliye anzisha hii thread unaakili ya kitoto sitoshangaa kusikia ni under 18.maana ni utoto tu ulio andika
 
umezuguuka point yako hapo ni kutaka kusema izzo siku hizi hajui kuchana basi.....
 
You don't know what music industry means. Na kama ungejua hilo ungejua kwanini wanamuziki wana mionekano tofauti.! Binafsi nadiriki kusema kwamba you're blanketed from what is really about music and its consequences to the society.
Uwe tayari kujifunza mkuu
 
Members wa jamii forums wasio na mwonekano wa kijamii forums, JUVENILE DAVIS huyu jamaa hafananii na jamii forums ni mlugaluga hana hoja za msingi mada zake ni pumba tupu hapa jukwaani, bora uendelee kuvuna ufuta kwenu huendani na jamiiforums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
umaeandika kichoko xn izo atakuwa anakaz hapo
 
Daudi acha akili ndogo mkuu na ww leo hii umekuwa namna hiyo?? Nimemtaja Izzo B,,je ana rasta aua ananyoa kiduku yule?

unataka msanii awe vipi ili useme huo ndio mueneokano wa kisanii??

Mfano: Kwa maoni yako Kanye West ana muonekano wa kisanii?? kama ndiyo/hapana - kwanini??
 
Akili umepoteza wapi nikakuokotee?
 
Members wa jamii forums wasio na mwonekano wa kijamii forums, JUVENILE DAVIS huyu jamaa hafananii na jamii forums ni mlugaluga hana hoja za msingi mada zake ni pumba tupu hapa jukwaani, bora uendelee kuvuna ufuta kwenu huendani na jamiiforums
Hahahahahaha Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…