The Who
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 527
- 878
Au alikua EMCEE anayetohoa.Labda free style
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au alikua EMCEE anayetohoa.Labda free style
Hahah!Au alikua EMCEE anayetohoa.
tehteh tehAu alikua EMCEE anayetohoa.
Mtoto wa kiume akitumia neno 'kuchambana' natamani nimzabe kibaoHii kitu niliiiona siku nyingi ila leo nimeona Afande sele akimchamba Gsolo nikaikumbuka.
Taarabu huwa ni nyimbo zilizojaa majisifu na kupakana maneno na Hiphop imejaa sana hizi ishu. Ukianza kwenye bifu la Tupac na BIG walikuwa wanapakana sana maneno. Tofauti ni kuwa kwenye hiphop maneno huwa makali sana. Pia wakati kwenye taarabu watu hujitamba kuchukuliana waume kwenye hiphop wao hujitamba kuchukuliana wake.
Pia wasanii wa taarabu hufuatiliana sana maisha hadi mtu anaimba siri za mwenzake unashangaa amejuaje?. Hivyohivyo kwenye hiphop, kwenye nyimbo za kudis watu hutoleana siri za ndani kabisa.
Hiphop haina tofauti na taarabu.
Mkuu umeongea ukweli flani ambao wanaojifanya wana hip hop hawapendi kuusikia na watabisha tu ila hakuna atakayepinga kwa hojaKwahiyo unakataa kuwa kwenye hiphop hakuna kuchambana na kufuatiliana maisha?