Wasanii wa hiphop hawana tofauti na wasanii wa taarabu?

Wasanii wa hiphop hawana tofauti na wasanii wa taarabu?

Hii kitu niliiiona siku nyingi ila leo nimeona Afande sele akimchamba Gsolo nikaikumbuka.

Taarabu huwa ni nyimbo zilizojaa majisifu na kupakana maneno na Hiphop imejaa sana hizi ishu. Ukianza kwenye bifu la Tupac na BIG walikuwa wanapakana sana maneno. Tofauti ni kuwa kwenye hiphop maneno huwa makali sana. Pia wakati kwenye taarabu watu hujitamba kuchukuliana waume kwenye hiphop wao hujitamba kuchukuliana wake.

Pia wasanii wa taarabu hufuatiliana sana maisha hadi mtu anaimba siri za mwenzake unashangaa amejuaje?. Hivyohivyo kwenye hiphop, kwenye nyimbo za kudis watu hutoleana siri za ndani kabisa.
Hiphop haina tofauti na taarabu.
Mtoto wa kiume akitumia neno 'kuchambana' natamani nimzabe kibao
 
Hii mada inakaukweli mfano NASH MC naye sikuhizi WA taarabu wanajidai wanaharakati kumbe hakuna lolote usiegemee upande mmoja sikuhizi wengi waimba taarabu tu kama mashog
 
Yaani jinsi alivokuwa akihubiri kwa mafumbo maneno style ya ujumbe ndio hapo wanahip hop walicopy , yeye alihubiri light mtu leo akamcopy ile mistari na kuchana utaelewa tu yeye aliongea hawa wakaibadili style na kutunga yao na kurap

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom