Wasanii wa kike wenye mvuto wa sura na mapenzi

Wasanii wa kike wenye mvuto wa sura na mapenzi

kwa vyovyote umegundua Tunda yupo humu maana si kwa kumwanzishia nyuzi huko. mkuu naamini Tunda leo akisema hance mtanashati kampige kofi magu nikupe game utakimbia kwa mguu kibamba mpaka magogoni ukatekeleze haraka!😉😉😉😉😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwenye list hiyo hakuna msichana mwenye rangi nyeusi ile yetu ya asili, wengi wao wamejichubua na tumewapa hadhi ya kuwa wazuri (asante kwa kujichubua), kwa maana nyingine sisi wanaume ambao tunaweka standards za uzuri tunamaanisha weusi ni ubaya.
 
Habari wana jamvi na wapenzi wote wa celebrities forum kwa ujumla?? Natumai wote ni wazima, leo nimewaletea warembo visu zaidi hapa Tanzania wanaoshika nafasi za juu zaidi


1: Tunda

View attachment 400315

View attachment 400334


2:Hamisa Mobeto




View attachment 400316

View attachment 400318





3: Sabby Angel


View attachment 400320

View attachment 400321


4😀j Fetty

View attachment 400324

View attachment 400325


5😀avina (Halima Yahya)

View attachment 400326


6:Shamsa Ford


View attachment 400327


7:Elizabeth Michael (Lulu)
View attachment 400329




8:Malaika

View attachment 400331



9:Lissa Jensen


View attachment 400332


10:Shishi baby shilole


View attachment 400333
Hawana lolote hapo, wa kwanza ana paswa kuwa batuli, wa ili sandra yule wa kitambo
 
Back
Top Bottom