Wasanii wa kike wenye mvuto wa sura na mapenzi

Aisee basi nazeeka siku hizi yaani ndio namuona leo huyo bibie
Yupo mbona wa siku nyingi huyo , kama wewe mpenzi wa bongo muvi lazima utakuwa ushawahi kumuona labda umesahau tu, alafu bob junior inasemekana ndio anaweka hapo
 
Hivi hakuna wanawake weusi Tanzania siku hizi, au wao hawapati umaarufu kama hawa weupe (wa kununua)?
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Bongo muvi mara ya mwisho kuangalia 2011
Bob junior naye akulaga maloso yulee kha
 
Hivi hakuna wanawake weusi Tanzania siku hizi, au wao hawapati umaarufu kama hawa weupe (wa kununua)?
Wanapata mbona ila hawana mbwembwe kama hawa wengine mf flaviana matata, happiness magese, nancy sumari na wenginee
 
Beyonce mwenyewe namuona wa kawaida sana sasa sijui hawa nawaonaje, kwa kifupi ni kwamba hawaingii kwa Mwajuma wangu hata nukta.
 
Aisee basi nazeeka siku hizi yaani ndio namuona leo huyo bibie
1473941798058.jpg

1473941806903.jpg
baadhi ya muvi alizocheza
 
Mkuu hako katoto namba 1 na 2 sijui "Fruit" ni kasanii ka nini?
Daahh vitoto kama hivyo mi ndo nakulaga sasa
 
Wanapata mbona ila hawana mbwembwe kama hawa wengine mf flaviana matata, happiness magese, nancy sumari na wenginee
Naona wanapata kutoka kwa watu wanojitambua sio hawa wa mitandaoni...
 
Kweli mtu chake apendacho hakina hila machoni......hao ndio top ten?
 
Hivi hakuna wanawake weusi Tanzania siku hizi, au wao hawapati umaarufu kama hawa weupe (wa kununua)?
Kwa mjini waanza kupotea ndugu yangu,weusi watabaki wa kijijini tu
mla mchina akisikia kuwa weusi wanahitajika anaweze kutengeneza vipodozi vya kuwa mweusi maana jamaa kwa kuangalia fursa nawaaminia.
 
Back
Top Bottom