Wasanii wa kike wenye mvuto wa sura na mapenzi

Wasanii wa kike wenye mvuto wa sura na mapenzi

Mhh huyo sabby angel mbona mapaja yamemlegea hivyo na miguu kama mama chupaki wa katuni za chakupanga(lkn si mama chupaki mie)shishi tupa huko hamna kitu.
Tunda nae mzuri ila ana katoto ka chura.
 
mkuu hii list yako imezingatia nn, kuna warembo kibao wenye mvuto huja wa list hapo.
 
Hichi ndicho kinachopunguza uwezo wa kufikiri wa vijana....
Na ndio kinachopunguza ubunifu kwa vijana waliomaliza vyuo....

Na ndicho kinapunguza kama sio kumaliza utendaji kazi maofisini.....

Na vilevile ndicho kinachorudisha nyuma maendeleo ya vijana.......

Na ndio sababau kubwa inayofanya mishahara ionekane haitoshi huko makazini......

Na ndicho kinachoangamiza vijana ambao walitazamiwa kuwa ni nguvu kazi ya taifa hili....!!!??

THIS TIME TOMMOROW.......

TIME WILL TELL......
 
Zigo liliwashinda hata wateule wa mungu
 
Ww jamaa unapenda hako Katoto hapo juu... Halafu kutwa nzima unawaza papuche [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] yaani kichwa cha chini Muda wote kipo wima...

Kudaadeki nadhani ndo unabalehe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom