Wasanii wa kike wenye mvuto wa sura na mapenzi

Hah haah aah aa h daah kwa nini unasema hivyo ??
Juzi ulikuja na thread ya kumsifia kuna uzi mwingne nilikuona unampa sifa kemkem leo umekuja na hii thread ambapo yupo ndani

Mtafute ukajitulize kifuani kwa mtoto yule
 
Kizuri kisifie mkuu
 
Juzi ulikuja na thread ya kumsifia kuna uzi mwingne nilikuona unampa sifa kemkem leo umekuja na hii thread ambapo yupo ndani

Mtafute ukajitulize kifuani kwa mtoto yule
Hivi mkuu wewe ni me au ke ??
 
Juzi ulikuja na thread ya kumsifia kuna uzi mwingne nilikuona unampa sifa kemkem leo umekuja na hii thread ambapo yupo ndani

Mtafute ukajitulize kifuani kwa mtoto yule
Ana stahili sifa ukiona hivyo angekuwa nunga embe nisinge msifia
 
Huo ni mtazamo wako!! Uzuri wa mwanamke upo machoni mwaka mtazamaji na si vinginevyo !!
 
Back
Top Bottom