Wasanii wa Marekani wanadharau show za Afrika?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Nilikuwa napitia vipande vya show ya Chris Brown aliyofanya Mombasa, yaani kwa jinsi alivyoperform sio yule Chris Brown nnayemjua mimi, ukiangalia show anazozifanyaga Marekani na Ulaya sidhani kama kuna msanii duniani wa kumfananisha naye, but ile show ya juzi unaweza sema hii Chinese version ya CB. Au Bilioni 2 ni ndogo? Pia niliwahi kuhudhuria show za kina Rickross, TI za Fiesta, ni mwendo wa playback, tofauti na wanavyofanya kwao
 
Huyu CB siyo mswahili kama Ne Yo!

Ukitaka u enjoy show ni pale Kanye west na Jay z wanapo panda stejini wakiwa 2
 
Kule kwao wanapiga live kwanza si marapa wala hawa walegeza sauti buy wakija huku wanaona mnawazingua tu so play back then huyo anapanda bombardier kwaooo anasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…