Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Yani unataka yale ma vyombo anayotumia yule aliyezimiwa mic ndo atumie CB?? Kwa ubora upi sasa? Kajionea bora apige plyback asepe hata kulala kagoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa pande wanguHe did it African way. jukwaa lenyewe la kimaskini. umeme hovyo.. sauti hovyo.. mashabiki hovyo na uchawi juu...
Hii ishu niliwah isikia miaka ya 2004...Mnawapa mualiko wa charity za mayatima halafu mnataka wajitowe kijasho kwa show za kusaidiwa bure.
Waulize mawinguHii ishu niliwah isikia miaka ya 2004...
Ivi ni kweli wanaombwa mualiko kupitia mgongo wa kuja kuburudisha yatima??
Hizo mil 200 ni Ksh kaka...Hajalipwa bilioni 2..ni milioni 200
Mkuu huo ndio ukweli angali list ya waimbaji wanavyo charge per show.Hii ishu niliwah isikia miaka ya 2004...
Ivi ni kweli wanaombwa mualiko kupitia mgongo wa kuja kuburudisha yatima??
Drake is overrated, anamzidi xris brown kwa mziki gani? Na huyo 50 kafulia kitambo sidhani kama anachaji hiyoMkuu huo ndio ukweli angali list ya waimbaji wanavyo charge per show.
Usher = $150,000 mpaka 200,000
Chris Brown = $250,000 mpaka 400,000
50 cent = $250,000 mpaka 350,000
Drake = $300,000 mpaka 500,000
J Cole = $150,000+
Justin Bieber = $1,000,000
Kanye West = $400,000 mpaka 600,000
Lil Wayne = $350,000 mpaka 500,000
Wiz Khalifa = $150,000 mpaka 250,000
Rick Ross = 100,000
Sasa piga hesabu kwa hela ya madafu kweli wanaweza kuwalipa hio hela kwa show moja. Bow wow ndie katika rapper anaelipwa hela ndogo kabisa basi show moja 20,000.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mimi nimekuja na kiwango wanacholipwa kwa show hayo mambo ya overrated na mziki gani na kufulia. Sio hoja kwangu kama unazo takwimu zako njoo nazo au nikupe link ya hio takwimu.[emoji15]Drake is overrated, anamzidi xris brown kwa mziki gani? Na huyo 50 kafulia kitambo sidhani kama anachaji hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unategemea nini jukwaani kuna bushman lazima aingiwe na hofu...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mimi nimekuja na kiwango wanacholipwa kwa show hayo mambo ya overrated na mziki gani na kufulia. Sio hoja kwangu kama unazo takwimu zako njoo nazo au nikupe link ya hio takwimu.[emoji15]
Jamaa anamchukulia poa drake[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mimi nimekuja na kiwango wanacholipwa kwa show hayo mambo ya overrated na mziki gani na kufulia. Sio hoja kwangu kama unazo takwimu zako njoo nazo au nikupe link ya hio takwimu.[emoji15]
Yap jamaa inawezekana kweli anapewa hiyo, ila jamaa ni overrated sana, na Chris Brown ni underrated, ndio maana hata kwenye listi ya wasanii wenye mkwanja huwezi kumuona[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mimi nimekuja na kiwango wanacholipwa kwa show hayo mambo ya overrated na mziki gani na kufulia. Sio hoja kwangu kama unazo takwimu zako njoo nazo au nikupe link ya hio takwimu.[emoji15]