Wasanii wa Marekani wanadharau show za Afrika?

Wasanii wa Marekani wanadharau show za Afrika?

Yani unataka yale ma vyombo anayotumia yule aliyezimiwa mic ndo atumie CB?? Kwa ubora upi sasa? Kajionea bora apige plyback asepe hata kulala kagoma.
 
He did it African way. jukwaa lenyewe la kimaskini. umeme hovyo.. sauti hovyo.. mashabiki hovyo na uchawi juu...
kwa pande wangu
naona Jukwaa bovu!! pili hakuna amsha amsha!!
kama unaimba mbugani vile wanakosa mzuka
kwa starehe tunazopenda inabidi tujenge maukumbi ya maana ya starehe
 
Mnawapa mualiko wa charity za mayatima halafu mnataka wajitowe kijasho kwa show za kusaidiwa bure.
Hii ishu niliwah isikia miaka ya 2004...
Ivi ni kweli wanaombwa mualiko kupitia mgongo wa kuja kuburudisha yatima??
 
In every action there is an equal and opposite reaction.Usitegemee kuona msanii akiwa na mzuka wakati mashabiki wamelala,steji imepoa na sound duni.Msanii anatakiwa atishwe na mwitiko wa watu ili aone kuwa ana kazi ya kukata kiu na si watu kutishwa na msanii.
 
Alichoona CB pale nikwamba watu walikwenda kumpiga picha na sio kuburudika.
Alipo fikiria picha zimewatosha kaona bora asepe hana kosa kwasababu hakuona mzuka wa mashabiki kajua shida ni picha
 
Hii ishu niliwah isikia miaka ya 2004...
Ivi ni kweli wanaombwa mualiko kupitia mgongo wa kuja kuburudisha yatima??
Mkuu huo ndio ukweli angali list ya waimbaji wanavyo charge per show.
Usher = $150,000 mpaka 200,000
Chris Brown = $250,000 mpaka 400,000
50 cent = $250,000 mpaka 350,000
Drake = $300,000 mpaka 500,000
J Cole = $150,000+
Justin Bieber = $1,000,000
Kanye West = $400,000 mpaka 600,000
Lil Wayne = $350,000 mpaka 500,000
Wiz Khalifa = $150,000 mpaka 250,000
Rick Ross = 100,000

Sasa piga hesabu kwa hela ya madafu kweli wanaweza kuwalipa hio hela kwa show moja. Bow wow ndie katika rapper anaelipwa hela ndogo kabisa basi show moja 20,000.
 
Drake is overrated, anamzidi xris brown kwa mziki gani? Na huyo 50 kafulia kitambo sidhani kama anachaji hiyo
 
Drake is overrated, anamzidi xris brown kwa mziki gani? Na huyo 50 kafulia kitambo sidhani kama anachaji hiyo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mimi nimekuja na kiwango wanacholipwa kwa show hayo mambo ya overrated na mziki gani na kufulia. Sio hoja kwangu kama unazo takwimu zako njoo nazo au nikupe link ya hio takwimu.[emoji15]
 
thats why i love JF
 
Jamaa anamchukulia poa drake
Mpe listi ya wasanii watano wenye mpunga mrefu ndio ajue iyo fee inaendana na hadhi yake
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mimi nimekuja na kiwango wanacholipwa kwa show hayo mambo ya overrated na mziki gani na kufulia. Sio hoja kwangu kama unazo takwimu zako njoo nazo au nikupe link ya hio takwimu.[emoji15]
Yap jamaa inawezekana kweli anapewa hiyo, ila jamaa ni overrated sana, na Chris Brown ni underrated, ndio maana hata kwenye listi ya wasanii wenye mkwanja huwezi kumuona
 
Tuulize sisi tuliokuwepo kwa ukumbi.. Siyo kuleta brah brah hapa.. No research no right to speak
 
Back
Top Bottom