screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Nilikuwa napitia vipande vya show ya Chris Brown aliyofanya Mombasa, yaani kwa jinsi alivyoperform sio yule Chris Brown nnayemjua mimi, ukiangalia show anazozifanyaga Marekani na Ulaya sidhani kama kuna msanii duniani wa kumfananisha naye, but ile show ya juzi unaweza sema hii Chinese version ya CB. Au Bilioni 2 ni ndogo? Pia niliwahi kuhudhuria show za kina Rickross, TI za Fiesta, ni mwendo wa playback, tofauti na wanavyofanya kwao