Wasanii wa Marekani wanadharau show za Afrika?


East Africa miziki yenu ya kukata viuno na kuimba mipasho


East Africa is the dandiest part of the continent exclude Kenya
 
hakutaka kukausha koo lake na maiki mbovu mbovu


Hakutaka kukata viuno kama yule ndomo
President nani[emoji26]

He did it African way. jukwaa lenyewe la kimaskini. umeme hovyo.. sauti hovyo.. mashabiki hovyo na uchawi juu...

DSM mbona ya zamani!!!!

Ndo ipi iyo mpya nn[emoji3] [emoji3] [emoji3]


Ww nchi gani

hamjui mziki ndo maana

halafu kaimba nyimbo 2 tu
 
Huku Africa kufunga sound kwa stage wengi hawawezi!
So msanii anaona asijisumbue plus stage mbovu unakuta kama ile ya wasafi festival sumbawanga mpaka jamaa akalamba chini!
 
Duh huyo JB mbona balaa tupu, clouds wajichange bas wakalete hata tukapige picha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…