Wasanii wa Nigeria Wana akili sana kuliko hawa wala ubwabwa wa kampeni huku kwetu

Hata wasanii wa huko wanatumika katika kampeni za viongozi fatilia mkuu most artists always serves their interests, yaani wasanii wa aina zote tu huwaga wako kimaslahi hasahasa wenye influence katka jamii
 
next level
 
Hata wasanii wa huko wanatumika katika kampeni za viongozi fatilia mkuu most artists always serves their interests, yaani wasanii wa aina zote tu huwaga wako kimaslahi hasahasa wenye influence katka jamii
wasanii wa bongo utaona R.I.P nyingi sana pasipo ya kukemea jambo compare na nchi zengine
 
Cowardice is a serious psychological desease.
 
Hivi kuna kipengele chochote kwenye katiba kinachoruhusu kumuua yule anaendamana? Iwe kwa kibali au kwa kutokuwa na kibali? Kama kipo hicho kipengele basi atakayekupinga ni mpumbavu tu , ila kama hakipo basi kuna mawili.
1.Wewe ni muoga kwa kiwango kwamba inakubidi uongee uongo hata ikiwezekana kwenda kinyume na katiba ya nchi ili usikilizwe .
2.Labda unalipwa vizuri kusambaza peopaganda yaani unafaidika kwa maumivu ya watanzania wengi kwa lugha nyengine utaitwa traitor .
 
Kama kazi uliyoipata ndio hii yakutetea Ujinga bora nikae sina kazi..... Nigeria hakuna mtu aliyewaambia watu waandamane kama unavyodhani na ndio maana hautaweza kumtaja hata mtu huyo.

Tatizo lipo nchini mwao watu wanacomplain kama tunavyocomplain mitandaoni sisi na matatizo yanayotukabili kupitia hasa awamu hii.

Kwenda barabarani hakunaga mtu analazimishwa zaidi unaangalia na mimi nina madai ya haki kama wenzangu basi tuungane.. hapo wapo wakusonga front wapo wakuonesha tatizo kama hao wapiga picha na video, wengine wapo makwao lakini ndio wanaotujulisha sisi kipi kinaendelea.

Wasanii wao kwa pamoja wameungana na mashabiki zao na wao wanatetea haki na uhuru wa wenzao japo wao wenda hata kufikiwa na hao SARS sijui SWAT wasingefikiwa ila wana simama na wenzao.

Kwahiyo hata sisi hatujamuomba mtu aandamane wala aache anachokifanya aingie barabarani ila muda wa hayo ukifika hata wewe hautapata mtu wakumshauri uharo wako huu ulioharisha humu..

Nawaona takataka kwasababu ni wanafki, kuna mengi yanatokea hapa nchini mbali na siasa lakini kutwa wamefyata mikia leo hii kisa wanajua kuna vicollable na wapopo ndio wajifanye kusimama na hilo ilhali yao mengi wanayapuuza na kuwadharau wanaoumia.

Kupaniki kwako Kunatokana na Ujinga wakutumia akili zako kuwa katika hali nzuri ya ufanyaji kazi wake. TAKATAKA MPAKA WEWE!
 
Wajinga tu hao, wao kila mtu asie wasapoti anaonekana hafai,alafu wengi wao ni jobless tu.
Jobless wengi wanakula kupitia majasho yenu mnaofanya kazi, kuwakomoa zikataeni kazi zenu ila si kwa haya maandishi.
 
Jobless wengi wanakula kupitia majasho yenu mnaofanya kazi, kuwakomoa zikataeni kazi zenu ila si kwa haya maandishi.
Waache vidomodomo tuwalishe sasa, tatizo lao wakishiba kwa jasho letu wanakuwa kama wajinga hivi.
 
Kama wao ni takataka unatakaje wafanye mambo ambayo wewe mwenye akili umeshindwa kuyafanya? Hapo ndo nakuona punguani,na usikasirike nikikufananisha na mknd.
 
Kwahiyo hata sisi hatujamuomba mtu aandamane wala aache anachokifanya aingie barabarani ila muda wa hayo ukifika hata wewe hautapata mtu wakumshauri uharo wako huu ulioharish
Hilo sahau.Wewe kama unaweza acha kujifanya shujaa huku kwenye fake ID's na kubweka ovyo nyuma ya keyboard.
 
Sa unataka kulia nini..
 
Ili ueleweke unatakiwa kuonyesha mfano, otherwise wewe pia ni muoga.Unajifanya shujaa nyuma ya keyboard, huku ukijua fika kuwa Jf inakulinda kwa fake ID.
 
Kama mnalalamika tu mitandaoni bila kuchukua hatua yoyote kama hao wanaijeria mnaowasifia hapa basi hamna tofauti na hizo takataka unazozizungumzia
 
Kama mnalalamika tu mitandaoni bila kuchukua hatua yoyote kama hao wanaijeria mnaowasifia hapa basi hamna tofauti na hizo takataka unazozizungumzia
Yani Hawa jamaa, ukifikiria sana utagundua kuwa hawana tofauti na wale mbwa mwanaobweka huku mkia wameukunjia ndani ya miguu (mbwa koko)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…