Wasanii wa Nigeria Wana akili sana kuliko hawa wala ubwabwa wa kampeni huku kwetu

We akili yako bado haijakomaa na ndo maana nashindwa kukushangaa,, We kwa akili yako yanayotokea Naijeria ni sawa na ya Kibiti na Mtwara? Hata kufananisha hujui?
Kumbe mafala bado tunao wa kutosha, nilikuwa sijui...

Afu kwanini iwe wasanii na na isiwe wewe? Huko Naija unakosema ni msanii gani alianza kukemea kabla wananchi hawajaingia barabarani wenyewe?
Wasanii wa nje ya Naija ni nani alianza kukemea yanayotokea kabla ya polisi kuwaua wananchi?

Magaidi wa Bokoharam wakati wanawateka wale mabinti wa shule ni nani uliyemsikia kakemea au kaandamana?
Jitahidi kunafananisha mambo japo uelewa wk ni mdogo
Jamaa asipokuelewa hapa basi ubongo wake utakuwa na Matatizo au level yake ya elimu Ni ndogo
 
We akili yako bado haijakomaa na ndo maana nashindwa kukushangaa,, We kwa akili yako yanayotokea Naijeria ni sawa na ya Kibiti na Mtwara? Hata kufananisha hujui?
Kumbe mafala bado tunao wa kutosha, nilikuwa sijui...

Afu kwanini iwe wasanii na na isiwe wewe? Huko Naija unakosema ni msanii gani alianza kukemea kabla wananchi hawajaingia barabarani wenyewe?
Wasanii wa nje ya Naija ni nani alianza kukemea yanayotokea kabla ya polisi kuwaua wananchi?

Magaidi wa Bokoharam wakati wanawateka wale mabinti wa shule ni nani uliyemsikia kakemea au kaandamana?
Jitahidi kunafananisha mambo japo uelewa wk ni mdogo
Wewe ndio pimbi kabisa!Hapa tunachosema ni ukimya kwenye violence halafu wanakuwa kimbelembele kwa yanayoendelea nje!Hujawaona wasanii wa Nigeria wakimwambia Rais wao achukue hatua huko Nigeria?Hapa Nyumbani ilishatokea hiyo?Akili zako ziko kiutopolo sana!
Askari walipomuua Akwilina kuna msanii aliyesema hata Justice for Akwilina?Nuangana na mleta mada,wasanii wa bongo wengi wao hawana elimu hivyo basi mwisho wa siku wanakuwa makapi ya wanasiasa!Hawajitambui umuhimu na nafasi zao katika jamii!!!!Period!
 
Asipoelewa hapo tena atakuwa na akili za mgomba 😂😂😂
 
Wewe ndio pimbi kabisa!Hapa tunachosema ni ukimya kwenye violence halafu wanakuwa kimbelembele kwa yanayoendelea nje!Hujawaona wasanii wa Nigeria wakimwambia Rais wao achukue hatua huko Nigeria?Hapa Nyumbani ilishatokea hiyo?Akili zako ziko kiutopolo sana!
Askari walipomuua Akwilina kuna msanii aliyesema hata Justice for Akwilina?Nuangana na mleta mada,wasanii wa bongo wengi wao hawana elimu hivyo basi mwisho wa siku wanakuwa makapi ya wanasiasa!Hawajitambui umuhimu na nafasi zao katika jamii!!!!Period!
Mkuu kama wewe unashindwa kukemea maovu ya nchi hii kwa uhuru , msanii ni nani aweze?
Jinsi ambavyo mwananchi wa kawaida hawezi/anaogopa kukemea baadhi ya mambo yanayofanyika katika nchi hii ndio hivyo hivyo kwa msanii. Mnawalaumu huku mkijua fika ndani ya nchi hii kuna mambo huwezi shadadia kwa kukurupuka.
Mnataka wenzenu wajitoe muhanga kwaajili yenu waharibikiwe halafu msiwasaidie kwa lolote.
Kemeeni nyie inatosha...
.
.
Hapo ulipo hujafanya lolote kukemea chochote halafu unalialia msanii hajakemea. Huna tofauti na wao...
 
Ni bora wangenyamaza saivi
Eti wanapost #endsars..
Huu ni unafki wapiganie vya kwao hapa wanakimbilia kwa watu walioanzia chini.
Yaani wao wasanii wanapenda kudandia vya juu juu vyenye kiki
 
Mkuu kama wewe unashindwa kukemea maovu ya nchi hii kwa uhuru , msanii ni nani aweze?
Jinsi ambavyo mwananchi wa kawaida hawezi/anaogopa kukemea baadhi ya mambo yanayofanyika katika nchi hii ndio hivyo hivyo kwa msanii. Mnawalaumu huku mkijua fika ndani ya nchi hii kuna mambo huwezi shadadia kwa kukurupuka.
Mnataka wenzenu wajitoe muhanga kwaajili yenu waharibikiwe halafu msiwasaidie kwa lolote.
Kemeeni nyie inatosha...
.
.
Hapo ulipo hujafanya lolote kukemea chochote halafu unalialia msanii hajakemea. Huna tofauti na wao...
Na wewe akili yako iruhusu ifanye kazi na ifikiri nje ya box!Kwanini tunasema wasanii?Hii ni kwasababu wao ni rahisi kuwafikia watu wengi sana!Mimi hapa huwezi jua kama nimeshawahi kuandika kwenye kurasa zangu za mitandao,hiyo ni kwasababu wigo wangu ni mdogo na maoni yangu yanaweza kuonwa na watu wachache na hao walengwa wasifikiwe!Wasanii ni vioo vya jamii!Wanawajibika kurudisha fadhila kwa jamii maana ndiyo hadhira yao!Waseme pale wanapoona kuna jakbo haliko sawa!
Mpaka wewe unaona wasanii wakitetea wananchi wanapopokwa haki zao ni kuhatarisha maisha yao,basi nchi hii kuna tatizo kubwa sana!
Kama una mpango wa kunijibu,tumia ubongo wako vyema!
 
Sema sometime ukifikiria unagundua tunakosea..
Kwanini tuwa sacrifice wasanii halafu sisi tukae nyuma kwa kigezo msanii ni kioo cha jamii matokeo yake atapaza sauti peke yake ..
Wengi wengu ni keyboard warrior's
Alipotekwa Roma tulifanya nini?
Alipambana kwa ajili yetu ila akaumia peke yake ..!
Nani anataka kuumia peke yake?

Tuache unafki
 
Mpo mitandaoni kwa ID fake hamjulikani mnaandika chochote, msanii anajulikana kabisa huyu ni nani. Tumia ubongo wako wewe...anzisha wewe wengine wafuate, msanii sio kiongozi wako na wala hana mkataba na wewe kupigania haki zako.
Soma mazingira ya nchi husika...
 
Hujatumia ubongo vema kunijibu!Yaani kama nilichoandika kimeingilia sikio la kulia na kutokea kushoto kisha ukaanza kuandika!
Narudia,watu wa nafasi yangu wameandika sana kukosoa au kutetea jambo fulani,ila hatusikiki kwasababu ya wigo mdogo wa wanaotufatilia!Hawa wasanii kwa matatizo ya nchini kwao wako kimya,ya nje ndiyo wanakuwa wepesi kuyadakia!What a shame!
Usinijibu kama mtu uliyejikatia tamaa na nchi yako,kama ndivyo basi we pita kushoto tu!
Watu wangekuwa wanawaza kama wewe enzi hizo,nchi hii isingekuwa huru!
 
Ubongo upi ndugu? Wewe mbona unaandika pumba nimekaa kimya. Kujifanya points zako zina mashiko kuliko za wengine, mlioandika inatosha sio lazima wasanii wafanye. Na hayo maandishi yenu yamesolve tatizo? Huna akili vile vile..kakojoe ulale
 
Mkuu kama wewe unashindwa kukemea maovu ya nchi hii kwa uhuru , msanii ni nani aweze?
Jinsi ambavyo mwananchi wa kawaida hawezi/anaogopa kukemea baadhi ya mambo yanayofanyika katika nchi hii ndio hivyo hivyo kwa msanii. Mnawalaumu huku mkijua fika ndani ya nchi hii kuna mambo huwezi shadadia kwa kukurupuka.
Mnataka wenzenu wajitoe muhanga kwaajili yenu waharibikiwe halafu msiwasaidie kwa lolote.
Kemeeni nyie inatosha...
.
.
Hapo ulipo hujafanya lolote kukemea chochote halafu unalialia msanii hajakemea. Huna tofauti na wao...
Tigershark kakupa mfano hapo. Wananchi wa Naija walianza kwa kukemea SARS na wasanii wakawaunga mkono.
Je, wananchi wa tz walipokemea Akwilina, nk wasanii waliunga mkono?
 
Sema sometime ukifikiria unagundua tunakosea..
Kwanini tuwa sacrifice wasanii halafu sisi tukae nyuma kwa kigezo msanii ni kioo cha jamii matokeo yake atapaza sauti peke yake ..
Wengi wengu ni keyboard warrior's
Alipotekwa Roma tulifanya nini?
Alipambana kwa ajili yetu ila akaumia peke yake ..!
Nani anataka kuumia peke yake?

Tuache unafki
Leo kidogo umeongea point.
 
Ubongo upi ndugu? Wewe mbona unaandika pumba nimekaa kimya. Kujifanya points zako zina mashiko kuliko za wengine, mlioandika inatosha sio lazima wasanii wafanye. Na hayo maandishi yenu yamesolve tatizo? Huna akili vile vile..kakojoe ulale
Piga kelele kwa Dilek yake wewe
 
Tigershark kakupa mfano hapo. Wananchi wa Naija walianza kwa kukemea SARS na wasanii wakawaunga mkono.
Je, wananchi wa tz walipokemea Akwilina, nk wasanii waliunga mkono?
Huyo Akwilina haki yake mliipigania nyuma ya keyboar, hakuna aliyethubutu kuingia barabarani. Yani hakuna tofauti ya wananchi na wasanii kama wasanii wa Tanzania ni matakataka, basi hata wanaowalalamikia ni takataka tu. Mapambano ya nyuma ya keyboard hayajawahi fanikiwa, na ndiyo maana hata justice ya akwilina haikupatikana hata muuaji aliachiwa.
 
Naija bado wana haki ya peaceful demonstarations ambayo tz huko nyuma ilikuwepo ikayeyuka. Wao naija walianza na peaceful demos celebs waka join.
 
Back
Top Bottom