Wasanii wa Nigeria Wana akili sana kuliko hawa wala ubwabwa wa kampeni huku kwetu

Yani Hawa jamaa, ukifikiria sana utagundua kuwa hawana tofauti na wale mbwa mwanaobweka huku mkia wameukunjia ndani ya miguu (mbwa koko)
Wamekazana kuandamana nyuma ya keyboard huku ID zao zikiwa withheld. Wanataka msanii ambae anajulikana apaze sauti kwa niaba yao. Msanii ni mwananchi wa kawaida kazi yake ni mziki,bongo movie Kama ambavyo kuna wakulima na wafanyabiashara.
Wanalalamika as if msanii alivyoanza harakati zake za usanii aliwaahidi kutetea haki zao
 
Chadema wapo hoi
 
hao wapopo wamechochea maandamano saa hii kwenye risasi za jeshi hawaonekani barabarani,wamejifungia twitter.

dunia hii ukimwelewa binaadamu ni kumbe wa aje,utajenga urafiki hata na simba au mamba.
 
Yaani wewe umekaa sebuleni kwa shemeji yako huku miguu kwenye meza unawalalamikia wasanii wa Tanzania wakati hata siku moja hujawahi kulipia nyimbo zao unazopakua.
 
Bro hao wana bodyguards hapo walipo. Nimeona clip ya Davido juzi mabodigadi wake walijaa in disguise lakini
 
Umeandika ujinga mwingi mpaka kukujibu naona itachukua muda wangu mwingi kukuelewesha!
Kwa ufupi tu,hawa wasanii wetu wamejikuta kimbelembele kwa yanayotokea Nigeria!Lakini wakati huo huo yalipotokea nchini walikuwa kimya sana!Ukiangalia ya mtwara na kibiti utaona unafiki wa wasanii hawa!Naona hujamwelewa mleta mada na umeishia kubwatuka tu,idiot!
 
Tatizo ni elimu na uelewa wako kuwa mdogo mpaka umeshindwa kumuelewa mleta mada!
Wasanii wa Tz wamekuwa nyuma sana kuwasemea watanzania wanapoonewa!Ila wanajifanya kupanua midomo yao kwa yanayoendelea huko Nigeria!Huo ni upumbav wa hali ya juu!
 
Tatizo ni elimu na uelewa wako kuwa mdogo mpaka umeshindwa kumuelewa mleta mada!
Wasanii wa Tz wamekuwa nyuma sana kuwasemea watanzania wanapoonewa!Ila wanajifanya kupanua midomo yao kwa yanayoendelea huko Nigeria!Huo ni upumbav wa hali ya juu!
Ulichokiandika wewe ni tofauti kabisa na mashudu aliyoandika mleta maada.
Ukichunguza vizuri utagundua kuwa mawazo yake yamejikita katika siasa uchwara.

Pamoja na hayo uliyoandika wewe, hayo hayatoshi kumpangia mtu Cha kufanya, si lazima asimame na wewe kwenye upande uliouchagua, kimsingi kila mtu ana matakwa yake.Ugumu wako wa maisha usihusishe wengine.
 
Wewe una akili timamu kweli?Watu wameuwawa kibiti na Mtwara wewe unasema ni ugumu wao wa maisha?Hizi akili za wapi?
Shame!
Sina cha zaidi cha kujibizana na wewe,its a waste of my precious time!
 
Wewe una akili timamu kweli?Watu wameuwawa kibiti na Mtwara wewe unasema ni ugumu wao wa maisha?Hizi akili za wapi?
Shame!
Sina cha zaidi cha kujibizana na wewe,its a waste of my precious time!
Bado umeshindwa kuelewa nilichomaanisha.Ni sawa wameuwawa,mimi najua Ila Sina uwezo wa kupambana na hao magaidi ndomaana nasubiri kuona ni nini vyombo husika vitafanya juu ya tukio hilo,wewe mwenye akili umejiandaa kufanya nini juu ya hilo tofauti na kubweka tu nyuma ya keyboard hapa jF?
 
Unakuta jitu linalaumu kwenda kwenye matamasha ya CCM, linawasimanga eti Wana njaa,wakati lenyewe Kila siku kazi zake ni kushinda humu jF linasubiri uzi uanzishwe likacomment "maisha magumu".
Hiyo comment yako Ni chungu lakini tamu.
 
Kama mnalalamika tu mitandaoni bila kuchukua hatua yoyote kama hao wanaijeria mnaowasifia hapa basi hamna tofauti na hizo takataka unazozizungumzia
Wasipokuelewa hapa wajitafakari
 
Dilek umemaliza kila kitu hapa.
 
Dilek umemaliza kila kitu hapa
Huwa hawaelewi hawa ndugu zetu
Leo ndio nimeelewa kwanini Hawa watu wanaitwa manyumbu
 
We akili yako bado haijakomaa na ndo maana nashindwa kukushangaa,, We kwa akili yako yanayotokea Naijeria ni sawa na ya Kibiti na Mtwara? Hata kufananisha hujui?
Kumbe mafala bado tunao wa kutosha, nilikuwa sijui...

Afu kwanini iwe wasanii na na isiwe wewe? Huko Naija unakosema ni msanii gani alianza kukemea kabla wananchi hawajaingia barabarani wenyewe?
Wasanii wa nje ya Naija ni nani alianza kukemea yanayotokea kabla ya polisi kuwaua wananchi?

Magaidi wa Bokoharam wakati wanawateka wale mabinti wa shule ni nani uliyemsikia kakemea au kaandamana?
Jitahidi kunafananisha mambo japo uelewa wk ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…