Wasanii wa Nigeria Wana akili sana kuliko hawa wala ubwabwa wa kampeni huku kwetu

Kimsingi wasanii wa bongo wengi ni vilaza hilo halina shaka kabisa

Wengine ukiwauliza hata hii #EndSARS wanayotweet chanzo ni nini watakuwa hawajui

On the other side

✓Hatuwezi kuwalaumu sana wasanii kwa sababu hakuna raia waliowahi kuanzisha movement yoyote ili tuseme kuwa celebs hawaku join hiyo move

✓Ila pia hawa celebs inabidi wakae pembeni na siasa..awamu hii tumeona wakijikomba komba sana na wanasiasa lakini ni wa upande mmoja na huo upande umeleta majanga kibao bongo hapa..So it's better wangekuwa neutral,japo hii nchi ni ya demokrasia
 
Mwandiko huu na tone hii kama ya Le Mutuz vile!!
 
we huoni waandamaji wanavyopigwa shaba, sasa sijui hivyo vipengele vyako kwenye katiba vinawarudishiaga maisha au inakuwa imetoka.
 
sasa kwa tukio la kibiti ulitaka wananchii waandamane ili iweje ikiwa jeshi la polisi tayari lilishaanza kupambana na hao majambazi. Tukio la kibiti na Nigeria hayafanani kabisa!
 
Mzee road unaingia lini ili wasanii waje kuunga mkono au zilikuwa hasira za nyuma ya keyboard?
jamaa aliandika kwa hisia sana, mchawi wa maisha yake ni yeye mwenyewe wala siyo ccm.
 
waliandamana au walikemea mtandaoni?
Wataandama vipi wakati sheria zilizopo haziruhusu maandamano wewe? Kule nigeria na kwingine sheria zao zinaruhusu maambamano ya amani. Kwa hiyo kushindwa kuandamana wa kulaumiwa ni yule anaekandamiza hii haki ya kuandamana. Wanasiana wamekuwa wakikemea ukandamizaji wa hii haki. Wasanii wapo wapi kwenye kukemea hili?
 
Mkuu,

Kuna nati moja imechomoka kichwani kwako


Nenda gereji
 
Kwanza wasanii wanawingi gani wa kuanzisha maandamano?
 
Mbona mnakazania sana maandamano? Mtoa uzi wapi kasema waandamane?

Yeye ujumbe wake ni wao kuunga mkono hata kwa hashtag, kama ma celeb wengine duniani kote walivyofanya kuhusu endsars.

Sasa wewe celeb wa bongo una-hash tag mambo ya naija wakati hayo hayo yanatokea kwako upo kimya!! Kwa misingi hii busara kwako ingekuwa kukaa kimya kwa hayo yanayotokea naija kuliko kujifanya unajali kumbe mnafiki mtupu!!
 
Kwa sasa upepo unavuma kwao...

Ni kama enzi za mziki wa zaire au congo ulivyokua unatamba...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…