Wasanii wa nini kwenye ziara za Rais za ndani?

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Poleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums

Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni kuvutia watu wajitokeze au kuwapa watu burudani?

Kama ni kuzindua Miradi mbona haina haja ya wasanii zaidi ya kutumia hela za wavuja jasho kuwalipa hawa wasaniii na nyimbo wanazoimba ni zile zile "KAINAMAA" "KATA KIUNO BABBY" nyimbo zisizokua na staha na maadili kwenye jamii ila hawa wasanii ndio waliombatana na Raisi.
 
Wewe unaumia kwa sababu zipi hasa wasanii wakiwepo?
 
Hawana cha kufanya hao, na ndio njia yao ya kusurvive
 
Siku zote kiongozi asiye jiamini, au kukubalika na jamii yake, hulazimika kutumia njia za mkato kama hizi za kuwatumia wasanii njaa, ili kuvutia halaiki.
 
Poleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums

Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni kuvutia watu wajitokeze au kuwapa watu burudani?

Kama ni kuzindua Miradi mbona haina haja ya wasanii zaidi ya kutumia hela za wavuja jasho kuwalipa hawa wasaniii na nyimbo wanazoimba ni zile zile "KAINAMAA" "KATA KIUNO BABBY" nyimbo zisizokua na staha na maadili kwenye jamii ila hawa wasanii ndio waliombatana na Raisi.
WATU hawahudhurii Mikutano ili kuwavuta Wanawatumia WASANII Nchi ngumu sana hii
 
311480000_3240964642782391_5140563127138295856_n.jpg
 
Hivi ziara za nje kama vile marekani Rais huwa anambatana nao pia hawa watu?
 
Aanzie wapi? yeye tu juzi kati alipakiwa kwenye bus la umoja, angeenda na wakina man fongo na dullah makabila unafikiri wazungu wangewaweka wapi? lazima tungeanza kelele za wazungu wabaguzi
Nilikuwa namuuliza aliyeanzisha uzi huu; huna haja ya kutoa povu na kuongea maneno ya kejeli kwa watu wanaokuzidi umri na mamlaka, tena kwa swala simple kama hli.
Soma tena kichwa cha uzi huu
 
Bila wasanii mikutano yao itakosa watu.maana wanajua kabisa hawakubaliki kwa mambo ya hovyo wanayofanya.
Hahahaaaaaa... Umenikumbusha miaka ya nyuma wakati miradi ya TASAF inaanza nilishiriki zoezi la kwenda vijijini kuibua miradi ya jamii na kuhakikisha inapitishwa kwenye mkutano mkuu wa kijiji by 75% kijiji kizima. Kwa kujua jinsi wananchi wasivyopenda kuja kwenye mikutano wakidai kuwa wamechoshwa na wanasiasa na wataalamu waongo ikabidi tubuni mbinu ya kwenda na vikundi vya ngoma, mziki na wacheza show ili watu wajae kwenye mikutano [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi ziara za nje kama vile marekani Rais huwa anambatana nao pia hawa watu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Amchukue yule anayeimba Bia [emoji482] tamuuu...
 
Back
Top Bottom