Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
u
ulitaka aende nao ziara za nje? manzee vumilia tu coz we have such a broken system at handPoleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums
Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni kuvutia watu wajitokeze au kuwapa watu burudani?
Kama ni kuzindua Miradi mbona haina haja ya wasanii zaidi ya kutumia hela za wavuja jasho kuwalipa hawa wasaniii na nyimbo wanazoimba ni zile zile "KAINAMAA" "KATA KIUNO BABBY" nyimbo zisizokua na staha na maadili kwenye jamii ila hawa wasanii ndio waliombatana na Raisi.