Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Wasaniiii hawaimbiii nyimbo kuhusu ugumu wa maisha,Tozo juu, mfumuko wa bei kila siku wanaimba upuuuzi na kwenye mikutano ya Raisi wapo nae.Bila wasanii mikutano yao itakosa watu.maana wanajua kabisa hawakubaliki kwa mambo ya hovyo wanayofanya.
Jibu ni simple tu Mkuu ,ni kuwavuta watu wajitokeze ,wasipokuwepo wanasanii wataudhuria wanasisiemu wenzake na wafanyakazi wa serikalini tu.je ni kuvutia watu wajitokeze au kuwapa watu burudani?
Wewe unaumia kwa sababu zipi hasa wasanii wakiwepo?Poleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums
Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni kuvutia watu wajitokeze au kuwapa watu burudani?
Kama ni kuzindua Miradi mbona haina haja ya wasanii zaidi ya kutumia hela za wavuja jasho kuwalipa hawa wasaniii na nyimbo wanazoimba ni zile zile "KAINAMAA" "KATA KIUNO BABBY" nyimbo zisizokua na staha na maadili kwenye jamii ila hawa wasanii ndio waliombatana na Raisi.
Hawana cha kufanya hao, na ndio njia yao ya kusurvivePoleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums
Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni kuvutia watu wajitokeze au kuwapa watu burudani?
Kama ni kuzindua Miradi mbona haina haja ya wasanii zaidi ya kutumia hela za wavuja jasho kuwalipa hawa wasaniii na nyimbo wanazoimba ni zile zile "KAINAMAA" "KATA KIUNO BABBY" nyimbo zisizokua na staha na maadili kwenye jamii ila hawa wasanii ndio waliombatana na Raisi.
Umenena vyema mkuu.Siku zote kiongozi asiye jiamini, au kukubalika na jamii yake, hulazimika kutumia njia za mkato kama hizi za kuwatumia wasanii njaa, ili kuvutia halaiki.
WATU hawahudhurii Mikutano ili kuwavuta Wanawatumia WASANII Nchi ngumu sana hiiPoleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums
Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni kuvutia watu wajitokeze au kuwapa watu burudani?
Kama ni kuzindua Miradi mbona haina haja ya wasanii zaidi ya kutumia hela za wavuja jasho kuwalipa hawa wasaniii na nyimbo wanazoimba ni zile zile "KAINAMAA" "KATA KIUNO BABBY" nyimbo zisizokua na staha na maadili kwenye jamii ila hawa wasanii ndio waliombatana na Raisi.
Aanzie wapi? yeye tu juzi kati alipakiwa kwenye bus la umoja, angeenda na wakina man fongo na dullah makabila unafikiri wazungu wangewaweka wapi? lazima tungeanza kelele za wazungu wabaguziHivi ziara za nje kama vile marekani Rais huwa anambatana nao pia hawa watu?
Nilikuwa namuuliza aliyeanzisha uzi huu; huna haja ya kutoa povu na kuongea maneno ya kejeli kwa watu wanaokuzidi umri na mamlaka, tena kwa swala simple kama hli.Aanzie wapi? yeye tu juzi kati alipakiwa kwenye bus la umoja, angeenda na wakina man fongo na dullah makabila unafikiri wazungu wangewaweka wapi? lazima tungeanza kelele za wazungu wabaguzi
Angalia huo utitiri wa magari ya kifahari!!
Hahahaaaaaa... Umenikumbusha miaka ya nyuma wakati miradi ya TASAF inaanza nilishiriki zoezi la kwenda vijijini kuibua miradi ya jamii na kuhakikisha inapitishwa kwenye mkutano mkuu wa kijiji by 75% kijiji kizima. Kwa kujua jinsi wananchi wasivyopenda kuja kwenye mikutano wakidai kuwa wamechoshwa na wanasiasa na wataalamu waongo ikabidi tubuni mbinu ya kwenda na vikundi vya ngoma, mziki na wacheza show ili watu wajae kwenye mikutano [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila wasanii mikutano yao itakosa watu.maana wanajua kabisa hawakubaliki kwa mambo ya hovyo wanayofanya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Amchukue yule anayeimba Bia [emoji482] tamuuu...Hivi ziara za nje kama vile marekani Rais huwa anambatana nao pia hawa watu?