Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Bongo movie hivi ina watazamaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ilesauti yake[emoji23]Wellu Sengo
Na ile figure yakesasa.....Na ilesauti yake[emoji23]
Wellu Sengo na Irene Paul.Kuna huyo wellu sengo kwenye tamthiliya ya mwanamuziki[emoji51]
So Mtu akisema NooooBoss mimi ngoja nikupe siri ya script, katika dialogue kuna reality ambayo inaruhusu kuchapia, kuna utumiaji wa code mixing and switching(hizi kwa kiswahili tutasaidiana) hivyo kwa maana hiyo , huwa hawakosei wanamaanisha wanachokifanya...[emoji4][emoji4][emoji4]
Ndio boss, kwani boss hujawahi kukosea katika maongezi yako? Dialogue huwa inatakiwa iwe na uhalisia , haitakiwi kuwa straight labda kama ni scientific script boss.So Mtu akisema Noooo
Then akasema
Hapana
Uwaga hakosei na anaelewa anachokifanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
English ya irene paul ni tamu mimi napenda kumsikiliza ila huyo wellu ni kama anakariri hafurahishiWellu Sengo na Irene Paul.
Yaani anaboa kwakweli na ule mdomo anavyoweka sasa[emoji3]Huyo nae anaigiza hadi unajuwa kwamba haya ni maigizo na sio reality.
[emoji3][emoji3]umeona ee,mashauzi mpaka anaboa mfyuu[emoji3][emoji3] hapo ndo hamna kitu kabisa
bora na akina mwadawa, siwa, cholo na mashavu wa kombolela
kidogo pale kuna uhalisia
[emoji1][emoji1][emoji1]mnooAnaboa sana huyO bonge nyanya
Acha kabisa hivi huwa hawamwambii apunguze au ndio anasema kazoea,aseehYani anakera huyoooo,kila tamthiliya yeye ni kujifanya kuongea kiinglishi
Hakika,Yaani anaboa kwakweli na ule mdomo anavyoweka sasa[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]looh...hapo ngoja nikae kimyaHakika,
Halafu jinsi umbile lake lilivyo akivaa traki suti kama mwamvuli wa tigo unatembea.
Anapaswa avae magauni au skirt ndefu ndy anapendeza sn
Hakika mkuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]looh...hapo ngoja nikae kimya
Ila kweli magauni ndio yanampendeza sana
Halafu hawa wasanii wa kike wangejua nguo za
stara ndo zinawapendeza(ga) wasingekuwa wanahangaika kutuonyesha mapaja yao[emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kila tamthilia anaboa, hata ktk Pazia pia. LolKuna huyo wellu sengo kwenye tamthiliya ya mwanamuziki[emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wellu Sengo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] govinda wangu sasa mcharuko huyoooo. Uwiiiiiih[emoji3][emoji3] hapo ndo hamna kitu kabisa
bora na akina mwadawa, siwa, cholo na mashavu wa kombolela
kidogo pale kuna uhalisia