Wasanii wa singeli mlitaka kudharau Nazi wakati embe ni tunda la msimu

Hata bongo fleva ilianza hivi hivi na watu wakaidharau. Lakini ilipoboreshwa ikakubalika.
Singeli wanahitaji support ya media houses na ushauri wa nini cha kuimba. Singeli ni muziki wa hapa hauna vionjo vya pop au azonto au miziki mingine.
 
Man fongo mbona simsikii tena show za mziki mnenee
 
Kwanza kabisa ulichokisema kina ukweli kwa asilimia kubwa sana .
Kwa kiwango kikubwa kwa sasa mziki wa singeri umepotea njia kwa kiasi kikubwa sana hii inatokana na gemu kuingiwa na wapiga dili wengi .
kabisa dili nyingi
 
Huo mziki Mimi hapana haujawahi kunishawishi kusikiliza na kudowload kwenye smartphone yangu,Never Never Never.
Ujasikia mabidi wewe unaraza ukisikia sehemu furani kama ubongo wako unajua nini burudani rakini kama pale utatoa utoi ni moja ya kipande kitamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…