Beka Mpole
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 490
- 375
Naunga mkono hoja 100%Huo mziki Mimi hapana haujawahi kunishawishi kusikiliza na kudowload kwenye smartphone yangu,Never Never Never.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja 100%Huo mziki Mimi hapana haujawahi kunishawishi kusikiliza na kudowload kwenye smartphone yangu,Never Never Never.
Ni kelele za wahuzi. Sinasikika sana kwenye baadhi ya vijiwe vya waendesha bajaji na bodaboda..kwani Singeli ni mziki?
Man fongo mbona simsikii tena show za mziki mneneeMuziki wa singeli umeshika sana wakati huu hasa mikoa ya Pwani, na mikoani kila mtu alitaka kujua ni muziki wa aina gani, si kwamba haukuwepo zamani ila jitihada za Efm zilichangia ushike hatamu japo redio ilikuwa haijafika mikoa mingi na walienda mbali mpaka kuanzisha kipindi maalumu kw aajili ya singeli chini ya Kicheko Mtata.
Kila muwamba ngoma huvutia kwake, mziki ukapokelewa kwa nguvu zote wasanii wa singeli wakaanza ona matunda kwa kualikwa kwenye show za Efm, na wengine kufanya dili za matangazo, nakumbuka Man Fongo alishafanya tangazo la Kampeni ya Nitigo pesa kutoka Tigo, Kicheko akasajiliwa Clouds na kuna baadhi ya wasanii wakagawanyika beef zikaanza wengine wakaona upande wa pili ndio wa maana sana
Nakumbuka Kicheko alipofika Clouds kwenye kipindi cha leo tena ilianzishwa segment akawa anapewa muda wake na zinachezwa singeli, sijui hiyo program ilipotelea wapi na Kicheko mwenyewe hasikiki kama zamani, baadae akahamia Jumamosi jioni kabla ya Kipindi cha Peter Moe. Mkazo wa singeli kwa Clouds tena ukawa umeishia hapo.
Efm bado wanalisongesha kipindi cha singeli alichokiacha Kicheko bado kinaendelea na naona mbadala wa Kicheko usajili wake ulikuwa mzuri Semio na Fido wamerudisha hadhi ya kipindi pia wasanii wa singeli bado wanaendelea kufanya show zinazoandaliwa na Efm, mara ya mwisho kuona msanii wa singeli akifanya show iliyoandaliwa na Clouds ni Fiesta 2017, lakini ilikuwa tofauti kwa Fiesta 2016 wasanii wa singeli walikuwa wengi
Nnnachosema msizalau Nazi
Shida ni kwamba hawa jamaa wengi sna hakuna shule, ndio mana, angalia hata wale wa Bongo Fleva, wengi wao akina sisi tuu, wachache kidogo ndio wamejishikizia mpaka tu degree tumoja
labda anadili zingine ratiba zinaingilianaMan fongo mbona simsikii tena show za mziki mnenee
Ujasikia mabidi wewe unaraza ukisikia sehemu furani kama ubongo wako unajua nini burudani rakini kama pale utatoa utoi ni moja ya kipande kitamu.Huo mziki Mimi hapana haujawahi kunishawishi kusikiliza na kudowload kwenye smartphone yangu,Never Never Never.